Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,486
2,000
Bora hata ww uliyaona bibi, sasa tuungane kudai katiba mpya itakayotuepusha kuja kutawaliwa kidhalimu tena huko mbeleni.
Katiba sio tatizo. Tatizo, nakubaliana na Gwajima aliyoyaongea leo bungeni, "nchi haina vision"
 

ipyax

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,990
2,000
Watu wanaitafuna sana hii nchi huku wengine wakiishia kupewa t shirts na kofia
 

Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,488
2,000
Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.


Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Mamangu nimekumiss hadi nikakuuliza .
Kwani ulitishwa ?
Siwaoni wana jukwaa hawa tokea mwaka huu uanze wa 2021, haikuwa kawaida yao, je wako wapi?.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom