Mbunge pekee aliyeanza kazi rasmi

Mbunge pekee aliyeanza kazi rasmi

Ina maana Professor Jay alivyokuwa analima Barabara hukumuona?
 
v
Yupo musukuma kaagiza maprofesa wote kutafutia watu ajira
akili za huyu "msukuma" dah...aache kujiita msukuma kunachochea ukabila, kila mbunge akianza kujiita jina la kabila lake mihemko ya kikabila itaanza tz
 
Umemsahau pia na mbunge wa mikumi mkuu yeye tayari alishaanza kupiga mzigo kwa kuanzisha barabara mpya na alisimamia mwenyewe bahati mbaya picha zinakataa kuzi upload
Huyu hapa
 
Attachments

  • 1452020184929.jpg
    1452020184929.jpg
    82.9 KB · Views: 24
Mkuu point sio kushinda kesi... Point ni kujaribu kila njia kutetea wananchi, hata akishndwa kesi... Ila amejitokeza kuwatetea, hicho ndicho tunachomsifia.... Watz inabid tujenge destur ya kupembua vitu kwa umakini... Tusikurupuke
acha kumjibu mpumbavu kama huyu, unajishushia heshima
 
abood moro kaanza kitambo sana kupitia gari ya kuzikia,
 
Na watabakia na mwamisha gamola, eminza huku watu wakija wakitajirikia hapo wao wakibak maskin
v
akili za huyu "msukuma" dah...aache kujiita msukuma kunachochea ukabila, kila mbunge akianza kujiita jina la kabila lake mihemko ya kikabila itaanza tz
 
Jana nimemuona Heche akichukua maoni na shida za wananchi Sirari. Nafikiri yuko sahihi
 
mambo ya kisheria kujiamisha kua mbunge amefanya kazi ni kujitoa ufahamu na kumpa sifa zisizomhusu siku mkibwagwa mahakamani mtasemaje? mnampa kick ya bure na kwa tabia ya wanasiasa wanapenda sana hizo akili zenu za chekechea
Kumbe Humu Nako Kuna Mbumbumbu Na Misukule Kama Fb!!!!!!!???? Eti Akili Za Chekechea!!! Hivi MBUNGE Kwenda Mahakamani Kuomba SERIKALI Ifuate Sheria Na Taratibu, Ndio Kutafuta Kick!!!!!!!??? Kama Ww Ndiye Mwenye Akili Za University!! Tuambie Ni Nani Aliyeanza Kujenga Ktk Mabonde Ya Dar!!!!?? Si CCM Yenyewe Ndio Iliyoanza Kujenga Bonde La Mto Msimbazi, Eneo La Kati Ya Tabata Matumbi, Buguruni Na Kigogo!!! Kabla Ya Wao CCM Kujenga Majengo Yao Na Kuanzisha Mradi Waliouita SUKITA!!! MATOKEO Yake Bonde Loote Jirani Na Sukita Kumejengwa Magodauni, Mayadi, Magereji, Viwanda Na Maofisi!! Na Raia Wamejenga Makazi Yao!! Ikiwa Uwanja Wa Klabu Ya Yanga Uko Jangwani Na Unatakiwa Kubomolewa, Vp Kuhusu Ofisi Za DARTS Pale Jangwani Kabisa!!!!! Je VIWANDA, Magodauni, Magereji, Mayadi Na Maofisi Yaliopo Kati Ya Tabata Matumbi Na Buguruni Ally Hamza!!!!!!???? Haya Why WANANCHI Wale Walipigwa Picha Na Kuandikishwa Majina, Kwa Zoezi La Kupatiwa VIWANJA, Lkn Hadi Wanabomolewa Hawajapatiwa!!!!?? Na Kule Mabwepande Kumejaa Tayari!!!!?? Je, Hapo Hakuna Mchezo Mchafu Uliyochezwa Na WATENDAJI!!!!!????
 
KAMA SHERIA HAZIKUFUATWA NYUMBA ZITABOMOLEWA TU HATA UKICHELEWESHA
 
Mkuu pole sana umeongea kwa uchungu na hisia kali lkn hao unao waona wanashabikia watanzania wenzetu kunyanyaswa na watawala ni vijana wa lumumba maana wao kila jambo ni itikadi
 
Wabunge wa chama cheti huanza kazi uchaguzi unapokaribia hivi sasa wanakusanya pesa kurejesha madeni kwa fedha walizotoa takrima wakati wa mchakato ndani ya chama na kampeni
 
Back
Top Bottom