Mbunge pekee aliyeanza kazi rasmi

ameishashinda kwa maana ya kuzuia zoezi mpaka kesi ya msingi isikilizwe, hilo tu linatosha sana kuiamsha hii serikali ya matukio na kukurupuka kuwa kuna utawala wa sheria, na kila mtu ana haki ya kusikilizwa hata kama ni mkosaji, I wish the same iapply kwa watumishi waliosimamishwa kazi ghafla na wanasiasa bila kusikilizwa,
Kweli kabisa mkuu hata hao jamaa wakiwacha uoga wakadai haki yao watafanikiwa
 
mambo ya kisheria kujiamisha kua mbunge amefanya kazi ni kujitoa ufahamu na kumpa sifa zisizomhusu siku mkibwagwa mahakamani mtasemaje? mnampa kick ya bure na kwa tabia ya wanasiasa wanapenda sana hizo akili zenu za chekechea
unafikiri angekuwa azzan angepeleka shauri mahakamani
 
mambo ya kisheria kujiamisha kua mbunge amefanya kazi ni kujitoa ufahamu na kumpa sifa zisizomhusu siku mkibwagwa mahakamani mtasemaje? mnampa kick ya bure na kwa tabia ya wanasiasa wanapenda sana hizo akili zenu za chekechea
Walau leo hawajabomolewa,Mbunge anachotaka watu wake wapewe ardhi kama.walivyopewa wengine
 
Sisi Ilemela mbunge wetu baado anasherehekea u waziri.Barabara ya Airport- Igombe limekatika hatujaona juhudi zozote.
 
Back
Top Bottom