Mbunge pekee aliyeanza kazi rasmi

Mbunge pekee aliyeanza kazi rasmi

Huko Rorya, mbunge Lameck Airo (ccm) ameanza kazi ya kutetea chama chake dhidi ya matendo ya JPM.
 
ivi unaanzaje kumuita binadamu mwenzako msukule kwa mfano??? umejuaje kama msukule??
 
Nassari ni mwigizaji hawezi kutuambia anachangia mil 45 kwa kusomesha watoto yatima wakati anajua elimu ni bure hivi sasa hadi kidato cha nne. Huu ni mchezo wa kuigiza
Kwaiyo ulivo sikia elimu bure ukajua magufuli anawanunulia wanafunzi madaftari.na viatu
Pls pls achana na mawazo ya paka
 
Hongera zake mb wa Kinondoni, bila kumsahau Makonda DC wa kinondon, naye hataki matani anawajibika vilivyo
 
Hata kubenea naye yupo kazini ha ha haa
 
mambo ya kisheria kujiamisha kua mbunge amefanya kazi ni kujitoa ufahamu na kumpa sifa zisizomhusu siku mkibwagwa mahakamani mtasemaje? mnampa kick ya bure na kwa tabia ya wanasiasa wanapenda sana hizo akili zenu za chekechea
Wewe ndie unajitoa ufahamu...ni watu wangapi wanaonewa na kukosa misaada ya kisheria.... japo ni inshu ya kisheria kama mbunge angetulia...leo wote si wangelala nje japo wana haki...
 
mambo ya kisheria kujiamisha kua mbunge amefanya kazi ni kujitoa ufahamu na kumpa sifa zisizomhusu siku mkibwagwa mahakamani mtasemaje? mnampa kick ya bure na kwa tabia ya wanasiasa wanapenda sana hizo akili zenu za chekechea
We nawe ni kanyaboya kabisa na ni mbumbumbu wa kwanza,hivi kama si huyu mbunge kutafuta wanasheria na kufungua kesi watu leo si tungelia sana? Huyu jamaa kapigania wewe,na wale wanasheria anawalipa yeye,
 
mambo ya kisheria kujiamisha kua mbunge amefanya kazi ni kujitoa ufahamu na kumpa sifa zisizomhusu siku mkibwagwa mahakamani mtasemaje? mnampa kick ya bure na kwa tabia ya wanasiasa wanapenda sana hizo akili zenu za chekechea
Kushindwa hakumaanishi hakutimiza wajibu wake
 
Ni Mbunge wa kinondoni Maulid Mtulia, wengine bado wanashangilia ushindi afu uchaguzi ujao tukiwapiga chini wanakimbilia mahakamani kulalamikia
kushindwa kwao. Umeanza vizuri ndugu Mtulia kwa kuionesha serikali kuwa kuna utawala wa sheria hakuna kukurupuka.
We mbona ni Kubenea ndiye alikuwa mbunge wa kwanza kuanza rasimu hiyo kazi na kufika huko mahakamani kwa kumtukana DC!
 
Back
Top Bottom