Mussa Allan kada maarufu wa CCM hadi pale bosi wake Lowassa alivokatwa.NASSARY ametokana wapi na MACCM? Namuonea huruma sana.
Ulitaka ajiunge na chama la wazeeKwa kweli huyu Mbunge wa Arumeru sijui alifikaje chadema kwa maana hafiti kabisa, huyu dogo ana moyo sana wa kujitolea na nimemuona akishiriki moja kwa moja kwenye mambo ya kusadia jamii yake na kamwe sijawahi kumsikia akijihusisha na majungu kama Tundu Lisu au Lema!
Leo hii yuko Uchina akijituma kujaribu kuangalia jinsi gani anaweza kutoa mchango wake ktk kupunguza matatizo yanayomkabili MtanZania hii ni kinyume kabisa na dhana ya Viongozi wakuu wa chadema kama Lisu, Lema fisadi Lowasa ambao siku zote wanapiga makelele majukwaaani na kwenye vyombo vya habari lkn sijawahi kuona msaada wao kwa wananchi hata siku moja, mwenye ushahidi wa siku Tundu Lisu alisaidia watanzania wenye mahitaji auweke hapa!
Hapo chini akifanya mazungumzo na wenye Kampuni ili kwa kutumia mkopo wake wa Ubunge kununua Vitanda kwa ajili ya WatanZani wenye mahitaji
Kila La Heri Mbunge Joshua Nasari!
Hivi hapa ume comment nini? Kosa la Nassary liko wapi hapa? Una tofauti gani ma wana CCM waliomponda Wilfred Lwakatare kwa kwenda kutoa misaada kwenye hospitali ya mkoa wakidai walioikataa hiyo misaada wapo sawa kwa kuwa hiyo si kazi ya mbongo!! Inaonekana kiroho na kiakili bado upo CCM uwepo wako Chadema unategemea zaidi uwepo wa LowasaMwanachadema akishaanza kusifiwa na MACCM, sijui namuonaje!
By the way, sio wewe wala huyo NASSARY wako mnaojua majukumu ya mbunge.
Wabunge aina ya Nassary ndio wanaifanya serikali ya CCM iendelee kuwa goigoi , wanaacha majukumu yao ya kibunge na kujifanya kuwa wafadhili wa wananchi ili wachaguliwe tena na tena, Kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali ifanye kazi zake ipasavyo! na sio vinginenyo!
Kila Mbunge akifanya kazi yake ya msingi ipasavyo serikali itanyooka kama Rula!
na wewe kama au kama serikali ya ccm ina ushahidi wa ufisadi wa Lowasa wamfikishe Mahakamani vinginevyo wewe ni mnafiki na mnamuogopa Lowasa wewe na serikali yakoKwa kweli huyu Mbunge wa Arumeru sijui alifikaje chadema kwa maana hafiti kabisa, huyu dogo ana moyo sana wa kujitolea na nimemuona akishiriki moja kwa moja kwenye mambo ya kusadia jamii yake na kamwe sijawahi kumsikia akijihusisha na majungu kama Tundu Lisu au Lema!
Leo hii yuko Uchina akijituma kujaribu kuangalia jinsi gani anaweza kutoa mchango wake ktk kupunguza matatizo yanayomkabili MtanZania hii ni kinyume kabisa na dhana ya Viongozi wakuu wa chadema kama Lisu, Lema fisadi Lowasa ambao siku zote wanapiga makelele majukwaaani na kwenye vyombo vya habari lkn sijawahi kuona msaada wao kwa wananchi hata siku moja, mwenye ushahidi wa siku Tundu Lisu alisaidia watanzania wenye mahitaji auweke hapa!
Hapo chini akifanya mazungumzo na wenye Kampuni ili kwa kutumia mkopo wake wa Ubunge kununua Vitanda kwa ajili ya WatanZani wenye mahitaji
Kila La Heri Mbunge Joshua Nasari!
Ushaanza kujikomba komba kwa wana cdm tayari,na bado hapo utawasifia wabunge woote wa cdm na kuwapona wale wa ndiyoooooooooooKwa kweli huyu Mbunge wa Arumeru sijui alifikaje chadema kwa maana hafiti kabisa, huyu dogo ana moyo sana wa kujitolea na nimemuona akishiriki moja kwa moja kwenye mambo ya kusadia jamii yake na kamwe sijawahi kumsikia akijihusisha na majungu kama Tundu Lisu au Lema!
Leo hii yuko Uchina akijituma kujaribu kuangalia jinsi gani anaweza kutoa mchango wake ktk kupunguza matatizo yanayomkabili MtanZania hii ni kinyume kabisa na dhana ya Viongozi wakuu wa chadema kama Lisu, Lema fisadi Lowasa ambao siku zote wanapiga makelele majukwaaani na kwenye vyombo vya habari lkn sijawahi kuona msaada wao kwa wananchi hata siku moja, mwenye ushahidi wa siku Tundu Lisu alisaidia watanzania wenye mahitaji auweke hapa!
Hapo chini akifanya mazungumzo na wenye Kampuni ili kwa kutumia mkopo wake wa Ubunge kununua Vitanda kwa ajili ya WatanZani wenye mahitaji
Kila La Heri Mbunge Joshua Nasari!
Kama wabunge wengi wa ccm wanavyojipigia promoUkiona kiongozi anajipigia promo huyo hafai ila ni mchumia.....
Na wana cdm kwa ujumla wakeHongera sana Mr Nassar ....your just work hard ...
Nyie ndio wanafik mpk mna kera pumbavu mtu wetu anaeahusu nn c mnayomagarasa na waziri mizigoKwa mchango wako huu bora utoe picha ya lowasa unamwaibisha huyo Mzee.
NASSARY anafanya both.
Kuisimamia serikali na kuwasaidia wananchi moja kwa moja.
Naungana na mtoa maada kumtaka nasssari aondoke haraka kwenye chama cha wanafiki chagadema
Kama vile ambavyo ww hufai kwa wazazi wako kwa sababu ni hasara kwa TaifaHakika Nassari hafai chadema...
Kwa kweli huyu Mbunge wa Arumeru sijui alifikaje chadema kwa maana hafiti kabisa, huyu dogo ana moyo sana wa kujitolea na nimemuona akishiriki moja kwa moja kwenye mambo ya kusadia jamii yake na kamwe sijawahi kumsikia akijihusisha na majungu kama Tundu Lisu au Lema!
Leo hii yuko Uchina akijituma kujaribu kuangalia jinsi gani anaweza kutoa mchango wake ktk kupunguza matatizo yanayomkabili MtanZania hii ni kinyume kabisa na dhana ya Viongozi wakuu wa chadema kama Lisu, Lema fisadi Lowasa ambao siku zote wanapiga makelele majukwaaani na kwenye vyombo vya habari lkn sijawahi kuona msaada wao kwa wananchi hata siku moja, mwenye ushahidi wa siku Tundu Lisu alisaidia watanzania wenye mahitaji auweke hapa!
Hapo chini akifanya mazungumzo na wenye Kampuni ili kwa kutumia mkopo wake wa Ubunge kununua Vitanda kwa ajili ya WatanZani wenye mahitaji
Kila La Heri Mbunge Joshua Nasari!
Kamanda unasahau kuweka akiba ya maneno.akiwa wa ccm mnasema hajafanya chochote,akiwa mbunge wa manyumbu mnatuambia si kazi ya mbunge kuleta maendeleoMwanachadema akishaanza kusifiwa na MACCM, sijui namuonaje!
By the way, sio wewe wala huyo NASSARY wako mnaojua majukumu ya mbunge.
Wabunge aina ya Nassary ndio wanaifanya serikali ya CCM iendelee kuwa goigoi , wanaacha majukumu yao ya kibunge na kujifanya kuwa wafadhili wa wananchi ili wachaguliwe tena na tena, Kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali ifanye kazi zake ipasavyo! na sio vinginenyo!
Kila Mbunge akifanya kazi yake ya msingi ipasavyo serikali itanyooka kama Rula!
Aende ACTKwa mchango wako huu bora utoe picha ya lowasa unamwaibisha huyo Mzee.