Mbunge Nassari alipotea njia CHADEMA

Mbunge Nassari alipotea njia CHADEMA

Yule wakwenu aliyekuwa anafanya kama Nassari mlimfumua kwenye Helikopta ili asije kuwa Waziri Mkuu na pia lile dili lenu la kuiba Makaa ya Mawe lisipotee..
 
Kwa kweli huyu Mbunge wa Arumeru sijui alifikaje chadema kwa maana hafiti kabisa, huyu dogo ana moyo sana wa kujitolea na nimemuona akishiriki moja kwa moja kwenye mambo ya kusadia jamii yake na kamwe sijawahi kumsikia akijihusisha na majungu kama Tundu Lisu au Lema!

Leo hii yuko Uchina akijituma kujaribu kuangalia jinsi gani anaweza kutoa mchango wake ktk kupunguza matatizo yanayomkabili MtanZania hii ni kinyume kabisa na dhana ya Viongozi wakuu wa chadema kama Lisu, Lema fisadi Lowasa ambao siku zote wanapiga makelele majukwaaani na kwenye vyombo vya habari lkn sijawahi kuona msaada wao kwa wananchi hata siku moja, mwenye ushahidi wa siku Tundu Lisu alisaidia watanzania wenye mahitaji auweke hapa!

Hapo chini akifanya mazungumzo na wenye Kampuni ili kwa kutumia mkopo wake wa Ubunge kununua Vitanda kwa ajili ya WatanZani wenye mahitaji

20160113031252%2B%25281%2529.jpg

20160113024845.jpg

Kila La Heri Mbunge Joshua Nasari!
Hakika tumempata Deo philipo njombe mpya wa Arumeru
 
Nassari hawezi kujiunga na lichama la waizi na washirikina ccm
 
Kweli ccm ni shida walitaka nasari awe wakwao ingekuwa dhambi kubwa ata shetani engepinga iyo dhambi
 
KWANI AKIWASAIDIA WANANCHI TATIZO NINI... ISHU YA UCHAMA WEKA PEMBENI BRAZA... HAYO NI MASLAHI YA WATU WOTEE... UWE CDM AU CCM... UKIUMWA UTALAZWA KWENYE HICHO KITANDA... NA YEYE SIDHANI KAMA ANA FIKRA ZA ETI NGOJA NIWANUNULIE WANANCHI WANGU WA CDM WALIONICHAGUA, HICHO KITU HAKUNA, NI KWA MASLAHI YA WATU WOTEE
 
H
Kwa kweli huyu Mbunge wa Arumeru sijui alifikaje chadema kwa maana hafiti kabisa, huyu dogo ana moyo sana wa kujitolea na nimemuona akishiriki moja kwa moja kwenye mambo ya kusadia jamii yake na kamwe sijawahi kumsikia akijihusisha na majungu kama Tundu Lisu au Lema!

Leo hii yuko Uchina akijituma kujaribu kuangalia jinsi gani anaweza kutoa mchango wake ktk kupunguza matatizo yanayomkabili MtanZania hii ni kinyume kabisa na dhana ya Viongozi wakuu wa chadema kama Lisu, Lema fisadi Lowasa ambao siku zote wanapiga makelele majukwaaani na kwenye vyombo vya habari lkn sijawahi kuona msaada wao kwa wananchi hata siku moja, mwenye ushahidi wa siku Tundu Lisu alisaidia watanzania wenye mahitaji auweke hapa!

Hapo chini akifanya mazungumzo na wenye Kampuni ili kwa kutumia mkopo wake wa Ubunge kununua Vitanda kwa ajili ya WatanZani wenye mahitaji

20160113031252%2B%25281%2529.jpg

20160113024845.jpg

Kila La Heri Mbunge Joshua Nasari!
Ebu tupe mfano wa mbunge mmojawapo wa cccm yako
 
Mwanachadema akishaanza kusifiwa na MACCM, sijui namuonaje!

By the way, sio wewe wala huyo NASSARY wako mnaojua majukumu ya mbunge.

Wabunge aina ya Nassary ndio wanaifanya serikali ya CCM iendelee kuwa goigoi , wanaacha majukumu yao ya kibunge na kujifanya kuwa wafadhili wa wananchi ili wachaguliwe tena na tena, Kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali ifanye kazi zake ipasavyo! na sio vinginenyo!
Kila Mbunge akifanya kazi yake ya msingi ipasavyo serikali itanyooka kama Rula!
Sawa Bavivcha umesikika ...cc rutashobolwa
 
Ataitwa msaliti, kama hapigi kelele majukwaani ni kuwa bize kumponda Magufuli, si muda mrefu ataitwa msaliti, kanunuliwa!
Kiukweli, yupo tofauti na Lema, Sugu, Msigwa, MBOWE etc! Nafikiri elimu yake ndo inamtofautisha na hao wenzake!
 
Mwanachadema akishaanza kusifiwa na MACCM, sijui namuonaje!

By the way, sio wewe wala huyo NASSARY wako mnaojua majukumu ya mbunge.

Wabunge aina ya Nassary ndio wanaifanya serikali ya CCM iendelee kuwa goigoi , wanaacha majukumu yao ya kibunge na kujifanya kuwa wafadhili wa wananchi ili wachaguliwe tena na tena, Kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali ifanye kazi zake ipasavyo! na sio vinginenyo!
Kila Mbunge akifanya kazi yake ya msingi ipasavyo serikali itanyooka kama Rula!

Jipu hili
 
Hongera sana kwake Mh. Nassari.

Hivi vitanda hapa kwetu havipatikani? Naomba nijulishwe.
 
Ukiona kiongozi anajipigia promo huyo hafai ila ni mchumia.....
 
kuna wabunge walikaaa bungeni miaka 40 wengine miaka 50 ila hajawahi kufanya jambo kama hili kabisa tena wakiumwa malaria wanakimbilia Apolo kufanya check up....big up Nassari
 
Kwa kweli huyu Mbunge wa Arumeru sijui alifikaje chadema kwa maana hafiti kabisa, huyu dogo ana moyo sana wa kujitolea na nimemuona akishiriki moja kwa moja kwenye mambo ya kusadia jamii yake na kamwe sijawahi kumsikia akijihusisha na majungu kama Tundu Lisu au Lema!

Leo hii yuko Uchina akijituma kujaribu kuangalia jinsi gani anaweza kutoa mchango wake ktk kupunguza matatizo yanayomkabili MtanZania hii ni kinyume kabisa na dhana ya Viongozi wakuu wa chadema kama Lisu, Lema fisadi Lowasa ambao siku zote wanapiga makelele majukwaaani na kwenye vyombo vya habari lkn sijawahi kuona msaada wao kwa wananchi hata siku moja, mwenye ushahidi wa siku Tundu Lisu alisaidia watanzania wenye mahitaji auweke hapa!

Hapo chini akifanya mazungumzo na wenye Kampuni ili kwa kutumia mkopo wake wa Ubunge kununua Vitanda kwa ajili ya WatanZani wenye mahitaji

20160113031252%2B%25281%2529.jpg

20160113024845.jpg

Kila La Heri Mbunge Joshua Nasari!
Tumeongozwa na ccm lakini tumeambulia kulia tu. Mara milioni kumi ni hela za mboga. Muache afanye yake akiwa chadema. Issue ni kwamba anajenga nchi hajengi chama
 
Kwa kweli huyu Mbunge wa Arumeru sijui alifikaje chadema kwa maana hafiti kabisa, huyu dogo ana moyo sana wa kujitolea na nimemuona akishiriki moja kwa moja kwenye mambo ya kusadia jamii yake na kamwe sijawahi kumsikia akijihusisha na majungu kama Tundu Lisu au Lema!

Leo hii yuko Uchina akijituma kujaribu kuangalia jinsi gani anaweza kutoa mchango wake ktk kupunguza matatizo yanayomkabili MtanZania hii ni kinyume kabisa na dhana ya Viongozi wakuu wa chadema kama Lisu, Lema fisadi Lowasa ambao siku zote wanapiga makelele majukwaaani na kwenye vyombo vya habari lkn sijawahi kuona msaada wao kwa wananchi hata siku moja, mwenye ushahidi wa siku Tundu Lisu alisaidia watanzania wenye mahitaji auweke hapa!

Hapo chini akifanya mazungumzo na wenye Kampuni ili kwa kutumia mkopo wake wa Ubunge kununua Vitanda kwa ajili ya WatanZani wenye mahitaji

20160113031252%2B%25281%2529.jpg

20160113024845.jpg

Kila La Heri Mbunge Joshua Nasari!
Unafiki tu wewe ndo wale bwana Donald trump anawaita........
 
Sasa ulitaka awe chama gani,,,maana hata kwetu hawafanyi hiv
 
Back
Top Bottom