Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kwa kweli huyu Mbunge wa Arumeru sijui alifikaje chadema kwa maana hafiti kabisa, huyu dogo ana moyo sana wa kujitolea na nimemuona akishiriki moja kwa moja kwenye mambo ya kusadia jamii yake na kamwe sijawahi kumsikia akijihusisha na majungu kama Tundu Lisu au Lema!
Leo hii yuko Uchina akijituma kujaribu kuangalia jinsi gani anaweza kutoa mchango wake ktk kupunguza matatizo yanayomkabili MtanZania hii ni kinyume kabisa na dhana ya Viongozi wakuu wa chadema kama Lisu, Lema fisadi Lowasa ambao siku zote wanapiga makelele majukwaaani na kwenye vyombo vya habari lkn sijawahi kuona msaada wao kwa wananchi hata siku moja, mwenye ushahidi wa siku Tundu Lisu alisaidia watanzania wenye mahitaji auweke hapa!
Hapo chini akifanya mazungumzo na wenye Kampuni ili kwa kutumia mkopo wake wa Ubunge kununua Vitanda kwa ajili ya WatanZani wenye mahitaji
Kila La Heri Mbunge Joshua Nasari!

Last edited: