Mbunge Nasari Anajuta...

Mbunge Nasari Anajuta...

Majukumu mazito jimboni? Inaelekea wewe sio mfuatiliaji wa mambo! Nassari jimboni kwake anatafutwa haonekani! Hujasoma thread ya malalamiko dhidi yake hapa JF?

Dogo sio mzalendo.

Si ndo kawaida yenu mmezoea kutumwa na Lumumba kuja kuleta uzushi wenu kuhusu wabunge wa CHADEMA, mbona hao wabunge wenu wanaishi oysterbay na masaki badala ya kuwa kwenye majimbo yao? Umemsikia Nyambari Nyangwine? mbona amekimbia JKT? si afadhali ya Nasari hakwenda kabisa kuliko huyu aliyelipiwa nauli kwa kodi zetu halafu akakimbia mafunzo.
 
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.

Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifuzu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.

Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefuzu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.

Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa waliopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...

Kama huyu Mpemba aliweza kwa nini Nassari ashindwe?

6.JPG
 
Sawa JKT wameenda sasa wanatakiwa kuachia asilimia 60 ya mishahara yao kwa ujenzi wa taifa. Hii ndo National Service la sivyo si lolote si chochote
 
Wewe unaweza kujutia kutokwenda mafunzo ya mgambo??
Lumumba huwa mnakosa hoja.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mbona wanaoongoza kwa ufisadi wako Bungeni lakini amekubali kujiunga na Bunge? Au kwasababu Bungeni kuna posho nono ambazo JKT hazipo?

JKT kitu gani bwana! Mkuu wa nchi alienda lkn ndie anaongoza kwa kunguka anguka jukwaani!
 
ze marcopolo mbunifu wa umbeya nchi itasonga mbele hongera.....msalimie yule mbunge wetu wa tarime alieripot akasepa
 
Sawa JKT wameenda sasa wanatakiwa kuachia asilimia 60 ya mishahara yao kwa ujenzi wa taifa. Hii ndo National Service la sivyo si lolote si chochote

Kumbuka kuwa mishahara yao sio mali yao peke yao, inawahusu pia familia zao...
 
ukiwa na uwezo wa kuelew na kuamini kuwa kwa yeyole utakaye kutana naye anaweza kukufunza kitu hata kama ni mwena wazimu basi wiki tatu jeshini ni nyingi mno kujifunza kitu siyo wiki tatu tu hata siku moja ni nyingi sana tataizo wengi wenu mnao sema wiki tatu siyo kitu basi mna matatizo makubwa sana ya matumizi wa muda wenu
 
Mh, sasa JF inataka kupoteza heshima yake, nilidhani umemsikia au kumwona akijuta, kumbe full hisia tu! Anyway, nimeipenda sana namna yako mpya ya kufikiri though siahidi kukuiga cause Ubongo wangu unaweza kukosa kazi ya kufanya an then you what will happen, nitakufa!
 
Haya mafunzo ya malengo ya kujenga ukakamavu na uzalendo kwa nchi. Sera hii ingeboreshwa ili waliowahi kupitia mafunzo haya na kupoteza ukakamavu wapewe review courses.e.g Cpt.Komba, Mama Rwakatare na mzee wa msitu. Kulala bungeni ni dalili za kutokua mkakamavu
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.

Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifuzu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.

Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefuzu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.

Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa waliopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...
 
Haya mafunzo ya malengo ya kujenga ukakamavu na uzalendo kwa nchi. Sera hii ingeboreshwa ili waliowahi kupitia mafunzo haya na kupoteza ukakamavu wapewe review courses.e.g Cpt.Komba, Mama Rwakatare na mzee wa msitu. Kulala bungeni ni dalili za kutokua mkakamavu

Wewe naona una utani na watu!
 
Mh, sasa JF inataka kupoteza heshima yake, nilidhani umemsikia au kumwona akijuta, kumbe full hisia tu! Anyway, nimeipenda sana namna yako mpya ya kufikiri though siahidi kukuiga cause Ubongo wangu unaweza kukosa kazi ya kufanya an then you what will happen, nitakufa!

Hizi sio hisia, ni taarifa yenye uhakika kutoka Kijenge Arusha.
Hutaki unaacha...
 
Back
Top Bottom