Mbunge Nasari Anajuta...

Mbunge Nasari Anajuta...

Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.

Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifudhu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.

Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefudhu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.

Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa walioopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...

Na mwiguru amekuja umempokea?
 
JKT ya wiki 3 ambayo mchana na usiku kucha wako kwenye mitandao ya Twitter, Facebook na JF....Bora Nassari hakwenda! Upuuzi mtupu...
 
Khaaa,
we kichwani Mzima kweli wewe????

kichwa changu siyo kama chako pimbi wewe badala ya kuleta hoja za maana unaongea ubwawa si bola ukaimbe taarabu kwa isha mashauzi patakufaa
 
Acha umbea wa kike, kwani wewe ni dume jike? Alidanganya wapi kuwa kaenda JKT? Mbona aliwaambia waliomchagua kuwa hawezi kwenda JKT kwa sababu za majukumu ya jimboni na hata akajitokeza JF kuthibitisha kuwa hatokwenda JKT. Au unatafuta mume?

...msamehe..huyu ..ni zesinia biologist ameamua kujiwaamaraizesheni...LUMUMBA!!
 
Mkuu, ninaimani kuwa katika maisha yako hujawahi kukanyaga smati eriya yoyote ya kambi yoyote ya JKT, vinginevyo usingethubutu kusema eti, waheshimiwa wamefuzu mafunzo ya JKT.

Wamepiga kwata 34 hao? Wanajua kushika, kuisambaratisha, kuisafisha na kuirudishia bunduki hao? Wamekwenda renji hao? Wamewahi kwenda gadi katika stratejik eriyaz au saits na rifle iso risasi, risasi anakuwanazo gadi kamanda?

Mkuu, ninawaheshi wahe. hao na ninawapongeza kwa walilolifanya, lakini naamini wamemaliza orientation tu na siyo kufuzu.
Mengine nakuunga mkono, inawezekana hayakufanyika kwa muda kuwa mfupi, ila nasikia Mh.Silinde amekuwa Service man bora wa Renji na amepewa zawadi ya kulenga shabaha, nina wasiwasi na Lusinde, Esta Bulaya kapata zawadi kuwa sevice girl - msafi kuliko wote
 
Nitafurahi nikiona picha ya Lusinde - Kibabaji, alivyokuwa akihitimu

Huyu hapa
Lusinde.JPG
 
  • Thanks
Reactions: bdo
kichwa changu siyo kama chako pimbi wewe badala ya kuleta hoja za maana unaongea ubwawa si bola ukaimbe taarabu kwa isha mashauzi patakufaa
Hehehe, Ukiwa Gamba na akili zote zinaganda, nakwambia hii kauli leo kwa Mara ya Pili Kiazi wewe.
Au na wewe unamuonea wivu Halima Mdee so unataka ujiegeshe kwa Nassari???
Sema usaidiwe
 
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.

Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifudhu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.

Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefudhu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.

Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa walioopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...

Imeelezwa na nani?
 
kichwa changu siyo kama chako pimbi wewe badala ya kuleta hoja za maana unaongea ubwawa si bola ukaimbe taarabu kwa isha mashauzi patakufaa

Kilaza JF March 2013 Joiner utatuambia nini sie JF tokea Kitambo, sie ndo wazee wa Mchwechwe Bwana.
Ukijipendekeza tu.....
 
Mengine nakuunga mkono, inawezekana hayakufanyika kwa muda kuwa mfupi, ila nasikia Mh.Silinde amekuwa Service man bora wa Renji na amepewa zawadi ya kulenga shabaha, nina wasiwasi na Lusinde, Esta Bulaya kapata zawadi kuwa sevice girl - msafi kuliko wote

Mkuu, ni kichekesho kuwaita service man na girl kabla hwajapasi ukuruta!
Huo ukuruta wenyewe hawakuuanza wala kuumaliza! Labda ukiniambia kuwa ilikuwa ni mafunzo ya JKT ya kisanii na kisiasa, hapo nitaamini.

Waulize vijana wetu ma-voluntia wanaokwenda siku hizi huko JKT. Wanafunzwa nini na kwa muda gani, kisha linganisha na huo usanii.

Kwa stahili hiyo unadhani wale watakaotakiwa kwenda (kutoka shuleni na vyuoni) kwa mujibu wa sheria mtawaambia nini kama wah. wabunge wamefuzu kwa muda mfupi hivyo?
 
mtoa mada yeye mada zake za kukandia Chadema siku zote
hana jipya
nenda Lumumba ukachukue mshiko
Tulishasema watanzania ni mbumbumbu wa kufikiri.
huyu nae kwa upeo wake wake yupo JF kila uchao kupost mada kama hizi
Hivi nchi itasonga mbele kama akili ndio hizi?
Hivi rasilimali zetu tutazifaidi kama vichwa ndio hivi vilivoshabikia utiaji wa saini mikataba 17 bila kujua kilichomo ndani?
nassari anajuta nini? kakuambia ana juta?
ni bora kunyimwa utajiri lakini sio ukosefu wa fikra............:A S 39:
 
songo mbingo humpati kwa lolote tunakwambia japo ulitangulia kwenye siasa lakini anatikisa utadhani wewe
 
Muligombea bibi na akakuzidi kete unataka Nasari aishi maisha yako we vipi mwanaume mbeya , utalazimishwa usukume chapati ebo walioacha kwenda wengine hujawaona ila huyo tu

Mkuu mleta uzi ni Mama Salma Kikwete wa Nassari
 
Back
Top Bottom