Mbunge Nasari Anajuta...

Mbunge Nasari Anajuta...

Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.

Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifudhu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.

Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefudhu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.

Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa walioopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...

Hongera mswahili, "WAMEFUDHU MAFUNDHO" ukakamavu wiki tatu?! Geresha tupu!... ULIZA WALIOPITIA JKT kitambi lazima kipukutike!... Hao wanaenda na vitambi na kurudi navyo!... UKAKAMAVU GANI HUO?!
 
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.

Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifuzu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.

The thread is too low... At least for you. Thread kama hizi waachie akina kitoabu na mchizi wa ukweli...
 
Mkuu mleta uzi ni Mama Salma Kikwete wa Nassari

Mkuu hata mimi niliwazia kuwa lazima mleta mada ni mke wake

Umejuaje? Inaonekana alikunong'oneza wakati anakukula tigo!

Acha umbea wa kike, kwani wewe ni dume jike? Alidanganya wapi kuwa kaenda JKT? Mbona aliwaambia waliomchagua kuwa hawezi kwenda JKT kwa sababu za majukumu ya jimboni na hata akajitokeza JF kuthibitisha kuwa hatokwenda JKT. Au unatafuta mume?

Mkuu ZeMarcopolo , vp lini umekuwa msemaji wa Nasari???
Mkuu umeamua ku compete na Halima nini???

Aina hii ndio washauri wa Nassari waliomshauri akimbie JKT. Sasa wanataka kumpoza asiendelee kujilaumu. Too late...
 
Mbona unatoa mapofu mapema CHAMVIGA?? Una hofu gani? We subiri na utajua kilichomnyoa kanga ndege manyoa ya shingo hiyo 2015 kama haki haijatendeka!

Bora hata hajaenda manake angetusumbua 2015 wakiingia msituni kupigania haki za wakaskazini kama M23 ya Congo.
Source: Godless Lema.
 
Last edited by a moderator:
Afadhali wiki tatu kuliko wiki sifuri.

Dogo aliingia mitini jimboni, watu wakadhani yuko JKT. Sasa picha za wote waliofudhu zimewekwa hadahrani kwa hiyo hawezi tena kuwadanganya wadau kuwa alikuwa JKT.

sasa hao nao utasema wamefuzu mafunzo na wamepata ukakamavu,hahahahaha mi naona walienda kuujulisha umma kwamba kuna kitu kinaitwa jkt

Nenda kajifunze kiswahili weweee! au mtafuteASNAM akusaidie!...
 
Aina hii ndio washauri wa Nassari waliomshauri akimbie JKT. Sasa wanataka kumpoza asiendelee kujilaumu. Too late...
Lazima akili yako imebung.uliwa na mchwa utajivikaje uhalisia wa mwanaume mwenzio unashangaza no wonder tunaambiwa na wengi bado mama anakulea
 
Kwa hali ilivyo sasa mimi namuunga mkono. hali ya usalama si swari, hivyo huwezi kujiingiza kwenye jambo ambalo huna imani nalo kwa usalama wako. Wengine hutumika kama chachu tu ya kuunyesha kuwa mambo ni poa lkn wapo ambao ni TARGET: kama huna uhakika kwanini ujitupie tuu. Wala usijute, endelea na msimamo wako. maisha hayajaribiwi kama unahisi kitu epuka hata kama hamna shida kuliko kujilaumu.

'have you ever seen a snake laughing?
'
lazima mtu uwe na mashaka.

haya majanga yanayotokea sasa hata hayaeleweki. na baadhi ya idara za serikali zinatuhumiwa kuhusika hivyo mtu hawezi jua mitego imewekwa wapi. lazima mtu kama huna uhakika na jambo juu ya usalama wako. tulia kwanza, tafakari. Katika maisha hatufuati mkumbo. kwani uliambiwa wabunge wanaenda kujiaandaa na vita?
 
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.
Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifuzu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.
Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefudhu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.
Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa walioopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...

Mhh? umesema serikali REGEREGE inayoongozwa na chama DHAIFU?
 
Kwani yeye ana tofauti gani na hao waliokwenda?? Yeye alikuwa na majukumu mazito jimboni ndo maana akaahirisha na sio kwamba alikimbia vitisho. Kwani kule kuna vitisho gani zaidi ya hivi anavyokumbana navyo kwa hawa policcm wenu?

Majukumu gani Mazito ili hali mpaka leo jimboni hakujatekelezwa ahadi yeyote tangu tumchague huyu kilaza.
Hatorudia makosa.
 
Ajute kwa lipi nyie si mumeenda kwa show off hakuna kitu umefanya kitaifa wewe ,ni show off tu yaani wiki tatu umeona mwezi mwezi kwani uienda mwenyewe kule mbona walioeenda hawajaweka matangazo vifuani kuna kitu ulikosa utotoni unacompasent sasa kisaikolojia unahitaji mshauri nasaha wa kukuweka sawa kidogo

Kwa huyu ndugu,ninakubaliana nawe iko shida dani yake c bure,lazima ni gonjwa hii ya upungufu wa malezi bora utotoni au kosa lishe bora totoni hivyo kukosa vitamin kusaidia afya yake ya akili.,Nabaki degedege,legelege dhaifu wa kufikiri.
 
Hongera mswahili, "WAMEFUDHU MAFUNDHO" ukakamavu wiki tatu?! Geresha tupu!... ULIZA WALIOPITIA JKT kitambi lazima kipukutike!... Hao wanaenda na vitambi na kurudi navyo!... UKAKAMAVU GANI HUO?!

Teh,teh,teh,teh,teh,teh,teh,---teh,teh,teh!!!Mbavu sina mie mchanganyiko na hasira,kumbe ndio sababu huyu jamaa sio mzalendo!!!!Yaaani na kiswahili nacho kumbe hakijui?Haa!Hahaha!!!Masai husema SWAHILI MAYOLO.
 
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.

Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifuzu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.

Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefuzu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.

Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa waliopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...

Mzee umekumbuc kupiga mswaki leo?
 
Imeelezwa na nani? Huna source au umeamua tu na wewe kuleta uzi wako ?
 
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.

Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifuzu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.

Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefuzu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.

Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa waliopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...

Nasari was right. Ulitegemea Wabunge wa MAGAMBA "and their Affiliates" wapigwe na kitu Kizito??
 
Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.

Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifuzu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.

Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefuzu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.

Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa waliopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...

Hivi wewe unajua jeshi? Nchi gani duniani wana mafunzo ya jeshi wiki tatu (siku 21)? Ni tanzania peke yake. Na hapo hakuna ukakamavu wowote unanweza kupatikana ndani ya hizo siku. Ni sera mbovu zinapelekea ujinga kama huo. Bora Nasari ambaye hajaenda
 
Back
Top Bottom