ZeMarcopolo,
..hivi katika maisha yako umepitia JKT au mgambo??
..JKT siyo chombo kipya, hili jeshi lipo miaka zaidi ya 30, kwa hiyo naomba uachane na visingizio vya kutokuwa na uzoefu.
..yeyote yule aliyepitia mafunzo ya JKT, na kuyazingatia, atakubaliana na mimi kwamba askari hawezi kufanya pass out parade akiwa MCHAFU-MCHAFU kama wale wabunge walivyokuwa wakionekana. Just from their appearance wanaonekana kwamba hawana nidhamu ya kijeshi, na hawakufuzu mafunzo yao.
..Kwa mtizamo wangu kama product ya mafunzo ya JKT ndiyo hiyo tuliyoiona, then wale walioamua kutohudhuria, kwa sababu zozote zile, hawana makosa yoyote.
NB:
..enzi zetu guard ya JKT ktk magwaride ya kitaifa ilikuwa ni inajumuisha vijana waliojiunga kwa mujibu wa sheria.
..makamanda wakuu wa JKT na JWTZ walikuwa na tabia ya kutembelea makambi kuona jinsi askari wanavyonolewa ktk mafunzo ya gwaride.
cc:
Ogah,
gobore,
Moshe Dayan,
Nyenyere