ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
tupe list ya hao waliofuzu mkuu!Imeelezwa kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameanza kujutia uamuzi wake wa kukacha mafunzo ya JKT.
Hali hiyo imejitokeza jioni ya leo baada ya Joshua kushuhudia wenzake wakifuzu mafunzo hayo kwa heshima kubwa ya kitaifa.
Kukacha kwa Joshua kulielezwa kutokana na kupewa "vitisho" kuwa angeweza kupigwa na kitu kizito chenye nchi kali katika mafunzo hayo, jambo ambalo limedhihirika kuwa si la kweli kwani wabunge wote waliohudhuria mafunzo hayo wamefuzu bila kudhuriwa. Wabunge hao sasa hivi ni wakakamavu zaidi kuliko walivyokuwa awali tofauti na Nassari ambaye anaendelea kuwa legelege.
Hii inatakiwa kuwa funzo kwa Nassari na vijana wengine kutokusikiliza maneno ya vijiweni yasiyo na uhakika. Iwapo Nassari angeacha kuamini maneno ya vijiweni angeweza kujivunia fursa ya kuwa miongoni mwa viongozi wa Taifa waliopata mafunzo maalum ya kijeshi. Woga wake "wa kijinga" umemkosesha fursa hii...