Mbunge Nasari Anajuta...

Mbunge Nasari Anajuta...

Aseee......kwahiyo JKT ndo wanafundishwa viapo na umuhimu wa Amiri Jeshi, na kwamba hakuna sehemu nyingine ambapo anaweza kujifunza wala kufahamu mambo hayo isipokuwa JKT ya wiki 3?

Kwa Nassari, hakuna sehemu nyingine.

Angeenda JKT akatoka ukimuuliza "je, unataka kanda ya kaskazini ijitenge?" ungeona jibu atakalotoa.
Na ukimuuliza "je, unataka kumkataza Rais asikanyage Arusha?" ungeona majibu yake mapya.

Chezea JKT wewe?
 
Aseee......kwahiyo JKT ndo wanafundishwa viapo na umuhimu wa Amiri Jeshi, na kwamba hakuna sehemu nyingine ambapo anaweza kujifunza wala kufahamu mambo hayo isipokuwa JKT ya wiki 3?

Nisaidie kuuliza mkuu.

Maana naweza kuuliza mie nikaonekana Kiranga na characteristic asymptotic and hyperbolic stones zake tu.
 
Kwa Nassari, hakuna sehemu nyingine.

Angeenda JKT akatoka ukimuuliza "je, unataka kanda ya kaskazini ijitenge?" ungeona jibu atakalotoa.
Na ukimuuliza "je, unataka kumkataza Rais asikanyage Arusha?" ungeona majibu yake mapya.

Chezea JKT wewe?

This is highly - that is to say shamefully- condescending and presumptive, coming from the monopolistic granddaddy of unorthodox condescension and presumptuousness.

Nimefurahishwa sana na Nasari kwa sababu.

1. Hajaona aibu kubadili mawazo.

2. Hajaona aibu ku sit out JKT.

Whatever - and however cowardly, which is not farfetched- his reasons.
 
Nassari amekuwa jimboni muda wote, fuatilia status yake ya FB.
Mfano ni mikutano ya wananchi aliyofanya vijijini, angalia link hii kwa mfano. Acha urongo magamba.

Facebook
 
hivi week tatu nayo ni mafunzo? mmekosa hoja za kuzungumuza
 
Back
Top Bottom