Majukumu mazito jimboni? Inaelekea wewe sio mfuatiliaji wa mambo! Nassari jimboni kwake anatafutwa haonekani! Hujasoma thread ya malalamiko dhidi yake hapa JF?
Dogo sio mzalendo.
Kama kwenda JKT ndiyo uzalendo, Tanzania isinge fikishwa hapa tulipo. Wanao ongoza kwa UFISADI karinbu wote walikwenda JKT, Uzalendo wao uko wapi??
Mmesha kula vya watu hata vya kuandika hamvioni!!! Kwako kufuzu JKT kwa mbwembwe ndio UJIKO??!!! Mbona sisi tulimaliza bila bwebwe na bado tuna hesabika kwamba tuli hudhuria mafunzo ya JKT. Tena ya mwaka mmoja na siku za kulipia juu.
Pesa za lumumba zitakutokea masaburini!!!!