Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,557
- 5,267
I’m
Mhe Joseph Kasheku Mushmuma kwenye issues za haki za watu wake, sio mtu wa mchezo, na hataki utani!.Wabunge hao ambao ni Joseph Musukuma wa Jimbo la Geita pamoja na Mhandisi Kija Ntemi wa jimbo la Katoro wamewasilisha malalamiko yao baada ya kamati ya Uchumi na fedha ya halmashauri kutembelea eneo hilo.
View attachment 3533994
Wameamua ya nini, wangemuacha huyo msukuma ale kichapo kwanza.GT,
Tukisema HAKI mnatuona wachochezi. Haya sasa hapa imekosekana HAKI.au AMANI?.
===========
WABUNGE kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya serikali katika kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo wa Katoro.
Wabunge hao ambao ni Joseph Musukuma wa Jimbo la Geita pamoja na Mhandisi Kija Ntemi wa jimbo la Katoro wamewasilisha malalamiko yao baada ya kamati ya Uchumi na fedha ya halmashauri kutembelea eneo hilo.
View attachment 3533994
Ili huyo auaweMsukuma ilitakiwa apigwe, mpuuzi sana
Mhe Joseph Kasheku Mushmuma kwenye issues za haki za watu wake, sio mtu wa mchezo, na hataki utani!.
View: https://youtu.be/5UVkfnK598o?si=ldKtDpmrHF95uMED
P
mngeacha msukuma apigwe kwanza akili irudi....GT,
Tukisema HAKI mnatuona wachochezi. Haya sasa hapa imekosekana HAKI.au AMANI?.
===========
WABUNGE kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya serikali katika kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo wa Katoro.
Wabunge hao ambao ni Joseph Musukuma wa Jimbo la Geita pamoja na Mhandisi Kija Ntemi wa jimbo la Katoro wamewasilisha malalamiko yao baada ya kamati ya Uchumi na fedha ya halmashauri kutembelea eneo hilo.
View attachment 3533994
hao wanaoamulia ndio wamezingua ilitakiwa msukuma apigwe kichwa kimoja hadi aone nyotanyotaMsukuma ni mjinga, huyo jamaa ilitakiwa amtandike kisawasawa
Unanikosha na comments zakoManiner, hao wangewaacha wazichape mpaka mmoja atimue mbio..!!
Huyo msukuma ilitakiwa apewe punch moja la kende apunguze ujuaji..!!
Washika vibendera walifeli wapi? 😡
Kwanza kafikaje katoroMsukuma ni mjinga, huyo jamaa ilitakiwa amtandike kisawasawa
Hahaaa wangezichapa tu aisee eti mi ccm, ila msukuma akijipata jmn
Mhe Joseph Kasheku Mushmuma kwenye issues za haki za watu wake, sio mtu wa mchezo, na hataki utani!.
View: https://youtu.be/5UVkfnK598o?si=ldKtDpmrHF95uMED
Pia huko nyuma niliwahi kusema kitu kumhusu mtu huyu GEITA: Msukuma amshusha cheo mkuu wa shule kwa kukataa Magufuli club kufanyia mahafali shuleni!
P