Mbunge Musukuma azichapa na ‘mwekezaji’

Mbunge Musukuma azichapa na ‘mwekezaji’

Msukuma ni mjinga, huyo jamaa ilitakiwa amtandike kisawasawa
Sio mjinga yule anaweza because akilizenu na PhD mlizonazo nenden kwao mtamwelewa huyu mwamba mkuu

Kwa hapa unajua hata maandiko yanasema Bwana Mungu atakupa wa kufanana. Nae

Mwekezaji mwamba akaa kidiku kaanza kumsukuma msukuma..na kifupi hata ningekuwa mm ile kabila yao haitaki dharau kamwe na kaanza kumsukuma Mungu akampa wa kufanana nae

Pale wameongea wengi unahisi why kaenda kumsukuma msukuma

N kwamba ameona anafananae na kapata haki yake 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 diaaaraaaaaaaaaaa altazaaaaaaaa 😆 😂 😆 tuko tunaboard maombiyenuuuu

🇹🇳 🇹🇳 🇹🇳 🇹🇳 🇹🇳 sio watuu wazuriii kabisaa sheehe
 
Sisi wanaume vita ya maneno huwa hatuiwezi kabisa ikidumu sana ni dk2 mimi tangu mwanzo nilijua tu kwamba hapa kuna watu watashikana mashati hau zitapigwa tu na kweli.

Hii wanaweza wanawake wanaweza parulana kwa naneo hata siku nzima bila hata kupigana vibao sisi hii haiwezekani.

Ni jambo la muda tu
Kaka umewahi kuishi Dar es salaam ?
 
GT,

Tukisema HAKI mnatuona wachochezi. Haya sasa hapa imekosekana HAKI.au AMANI?.

===========
WABUNGE kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya serikali katika kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo wa Katoro.

Wabunge hao ambao ni Joseph Musukuma wa Jimbo la Geita pamoja na Mhandisi Kija Ntemi wa jimbo la Katoro wamewasilisha malalamiko yao baada ya kamati ya Uchumi na fedha ya halmashauri kutembelea eneo hilo.

View attachment 3533994
Safi sana,tukiwa tunachapana makofi na mangumi heshima itakuwepo.
 
shida moja wale wote wanajua kunyunyiza usishangae keshoo wakacheka wotee...hapo kuna mmoja kaambiwa mchapee yee mambo yakaesawa

😆 😂
😆 😂 😆 kidn jaman msijeniligam mwepesi sana narusha dua juu
 
Back
Top Bottom