Mbunge Musukuma azichapa na ‘mwekezaji’

Mbunge Musukuma azichapa na ‘mwekezaji’

Maniner, hao wangewaacha wazichape mpaka mmoja atimue mbio..!!

Huyo msukuma ilitakiwa apewe punch moja la kende apunguze ujuaji..!!
Washika vibendera walifeli wapi? 😡
😂😂😂😂😂
 
Hahahah... aisee nimecheka sana, yaani haya majamaa muda wote yanawaza kutumia mabavu tu kwenye kila jambo.....

....na huwa wanatamani hayo mabavu wayafanye kwa wanachadema maana ndio wanaona kuna uhalali, ona kama hapa kila mmoja anatamani angekuwa anapigana na mwanachadema.
Mkuu ni aibu sana, saa hizi tutarajie hata majizi ya CCM kuanza kupigana risasi au na kupotezana yenyewe kwa yenyewe.

Lissu aliwaambia kuna siku itakua wao kwa wao.
 
GT,

Tukisema HAKI mnatuona wachochezi. Haya sasa hapa imekosekana HAKI.au AMANI?.

===========
WABUNGE kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya serikali katika kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo wa Katoro.

Wabunge hao ambao ni Joseph Musukuma wa Jimbo la Geita pamoja na Mhandisi Kija Ntemi wa jimbo la Katoro wamewasilisha malalamiko yao baada ya kamati ya Uchumi na fedha ya halmashauri kutembelea eneo hilo.

View attachment 3533994
Mambo ya chukua chako mapema na imani yao ya kujua kusoma na kuandika inatosha.
 
Wapambe walikosea sana kuwaachanisha. Wangeacha kama dakika 10 hivi
 
"""Jamaa Akili Ipo Kawajaza Upepo Na Wamejaa Haswaa,,Aliwajua Ni Watu Wa Misifa Na Watu Wa Misifa Matumizi Yao Ya Akili Huwaga Ni Ya Kiwango Duni Mnoo...Kamati Ilibidi Ifuate Kanuni,,,Sheria Na Miongozo Iliyo Kwenye Taratibu Za Kiserikali...​
 
Kwanini katoro ndio mwekezaji afanyiwe hivi? Angekuwa Mwaraby au Mzungu haya yangetokea?

Pale Geita mjini eneo la Mtakuja wananchi wanaishi kama wakimbbizi baada ya kyfurushwa kwenye makazi yao, bila fidia na kumpusha mwekezaji, haya yameisha?

Ni malalaniko mabgapi nchini kuwahusu wawekezaji ambapo wabubge wamechukua hatua kama hii?

Kama mnatenda hivi katoro kwanini hamfanyi kote kwenye hicho mnachoita dhulma za wawekezaji?
Rudia tena kusoma mkuu nadhani hujaelewa
 
Hao ndio viongozi wenu. Hawana utulivu wa akili, hawawezi kujizuia kufanya maamuzi ya kijinga, na wengina hata mwisho wa mamlaka yao hawafahamu. Aibu kwelikweli!


Inasikitisha sana kuona tunavyoporomoka kiuongozi kama taifa!
​
Inasikitisha sana mkuu, mtu anayo mamlaka kama kiongozi ila anaishia kufanya mambo kihuni huni tu.
 
Back
Top Bottom