Mbunge Musukuma azichapa na ‘mwekezaji’

Mbunge Musukuma azichapa na ‘mwekezaji’

Msukuma hana hekima,hakukuwa na haja ya kuanza kurusha ngumi kwa muwekezaji huyo,bali alitakiwa awasilishe malalamiko yake kwa vyombo husika
Any way ccm wote wezi, hapo wanataka kupora maeneo ya wananchi
ni sawa ila hata kama ni mim unikabe shati nimekuangalia tu.? asee sikuelew nakupondea mikono, make ndo umetaka iwe hivo.

Msukuma yupo sawa tu, mkiacha ushabik.
hapo mnasema msukuma hakutumia hekima na vip mwekezaj alitumia hekima kumkwida mwenzie?
 
Hao waliyowaamulia wamekosea,walitakiwa wawaache watandikane
Mpaka mmoja hapo anyooshe mikono juu

Ova
 
GT,

Tukisema HAKI mnatuona wachochezi. Haya sasa hapa imekosekana HAKI.au AMANI?.

===========
WABUNGE kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya serikali katika kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo wa Katoro.

Wabunge hao ambao ni Joseph Musukuma wa Jimbo la Geita pamoja na Mhandisi Kija Ntemi wa jimbo la Katoro wamewasilisha malalamiko yao baada ya kamati ya Uchumi na fedha ya halmashauri kutembelea eneo hilo.

View attachment 3533994
Shida Msukuma ni Elimu ..
Mpumbavu
 
Majizi yanaparuana sasa yenyewe kwa yenyewe.

Nimemsikia huyo mpumbavu anamuuliza huyo kwani nyie ni CHADEMA?

Kwahiyo saa hizi CHADEMA haipo kwenye uongozi wamo majizi ya CCM pekeyao wameshindwa kujiongoza hadi wawakumbuke CHADEMA ambao wanasema wanapinga maendeleo na kuchelewesha?
Hahahah... aisee nimecheka sana, yaani haya majamaa muda wote yanawaza kutumia mabavu tu kwenye kila jambo.....

....na huwa wanatamani hayo mabavu wayafanye kwa wanachadema maana ndio wanaona kuna uhalali, ona kama hapa kila mmoja anatamani angekuwa anapigana na mwanachadema.
 
Msukuma hana hekima,hakukuwa na haja ya kuanza kurusha ngumi kwa muwekezaji huyo,bali alitakiwa awasilishe malalamiko yake kwa vyombo husika
Any way ccm wote wezi, hapo wanataka kupora maeneo ya wananchi
Uchaguzi ukiwa huru kabisa,Msukuma hawezi shinda Geita Vijijini,ni mjinga na mpuuzi
 
GT,

Tukisema HAKI mnatuona wachochezi. Haya sasa hapa imekosekana HAKI.au AMANI?.

===========
WABUNGE kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya serikali katika kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo wa Katoro.

Wabunge hao ambao ni Joseph Musukuma wa Jimbo la Geita pamoja na Mhandisi Kija Ntemi wa jimbo la Katoro wamewasilisha malalamiko yao baada ya kamati ya Uchumi na fedha ya halmashauri kutembelea eneo hilo.

View attachment 3533994
Msukuma ni mjanja mjanja sana
Anapiga kibao kofia ya Rashidi inadondoka alafu anakimbia nyuma ya walinzi
Sio sawa kabisa
Inatakiwa akabiliane na muhusika
Amezoea kuonea Chadema
 
Juzi juzi tu mama akimuapisha Waziri wa michezo aliwakanya wasiende kugombana, hata kugeuka hajageuka wengine washashushiana Vitasa😁😁.
 
GT,

Tukisema HAKI mnatuona wachochezi. Haya sasa hapa imekosekana HAKI.au AMANI?.

===========
WABUNGE kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya serikali katika kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo wa Katoro.

Wabunge hao ambao ni Joseph Musukuma wa Jimbo la Geita pamoja na Mhandisi Kija Ntemi wa jimbo la Katoro wamewasilisha malalamiko yao baada ya kamati ya Uchumi na fedha ya halmashauri kutembelea eneo hilo.

View attachment 3533994
Zipo njia za kisheria kutatua migogoro kama hii, kwanini hazitumiki ?.
 
Si ajabu Hilo eneo Musukuma naye alikuwa analitaka. Sasa amewahiwa limemuuma sana. Yaani hadi upigane Kwa mambo ambayo yangeweza kumalizwa kisheria. Kuna kitu hapo siyo bure
Sema watu wazima kurushiana makonde hivyo kwa mambo yanayopaswa kufuata taratibu ni ulimbukeni.
 
Popote ambapo MUSUKUMA ataingiza mkono wake kwa dizain hiyo jua deal amelikosa na anataka kukwamisha ndivyo alivyo na ndio tabia yake.
By the way Katoro sio kwakwe hiyo jazba ya nini??
 
Popote ambapo MUSUKUMA ataingiza mkono wake kwa dizain hiyo jua deal amelikosa na anataka kukwamisha ndivyo alivyo na ndio tabia yake.
By the way Katoro sio kwakwe hiyo jazba ya nini??
Kwanini katoro ndio mwekezaji afanyiwe hivi? Angekuwa Mwaraby au Mzungu haya yangetokea?

Pale Geita mjini eneo la Mtakuja wananchi wanaishi kama wakimbbizi baada ya kyfurushwa kwenye makazi yao, bila fidia na kumpusha mwekezaji, haya yameisha?

Ni malalaniko mabgapi nchini kuwahusu wawekezaji ambapo wabubge wamechukua hatua kama hii?

Kama mnatenda hivi katoro kwanini hamfanyi kote kwenye hicho mnachoita dhulma za wawekezaji?
 
Back
Top Bottom