Mbunge,mchungaji LWAKATARE aumbuka bungeni

Mch. R. anatia aibu kwa waumini wake na taifa zima kwa ujumla maana anahubiri haki, usawa, amani, upendo na matendo mema lakini ni kwa kufikirika tu. ACHA HIZO UNAFIKI MKUBWA OGOPA MUNGU
 
Huyu mama kwa utapeli hapa dar anajulikana,ukimkopesha halipi wengi wamelizwa na mchungaji
 
Jf mnamfatafata huyu mama, wakati usiku na mchana anaomba jf ifungiwe msimfanye aongeze maombi...hahahaahahahahaahaahahahahaha
 
ndio serikali ya shemeji yako inavyofanya so chukua uamuzi na kura yako mkuu

Naelewa umuhimu wa kura yangu, ni kama karata ya mwisho, siwezi kupiga kwa kuwa kila mtu anapiga kura ya aina hiyo.....
 
Naelewa umuhimu wa kura yangu, ni kama karata ya mwisho, siwezi kupiga kwa kuwa kila mtu anapiga kura ya aina hiyo.....

kama unaelewa umuhimu wa kura yako na kama unafikiri kura yako imejaa matumaini makubwa kwa taifa lako basi ni vizuri kutumia uwezo wako wa kuweza kuwaelewesha wananchi ambao hawajui umuhimu wa kura zao na ambao huwa wanapiga kura ili kutimiza wajibu wa kupiga kura, wape somo watu wapate kufunguka na kupambazuka katika giza hilo nene.
 
hivi huyu jana alihubiri huko kanisani kwake? na alikuwa kwenye hali gani? kama ningekua dar jana ningeenda kanisani kwake kusali
 
dunia imeisha..af naskia mwanae mlev knoma...cjui huwa amuombeag?
 
Mch.,mh.,dr.,getu kumbe ana kaujuzi ka ziada?wamchek vzur inawezekana na H2O pia kafanya maarifa..
 
Back
Top Bottom