Huyu mama yuko UK sasa mwaka wa Pili anasoma pale Westminster. Lakini cha ajabu hatumuoni kwenye misiba wala magonjwa lakini anaonekana sana kwenye mikutano ya kufungua matawi ya CCM uingereza nzima.
Swali ninalojiuliza ni je anasoma saa ngapi na saa ngapi anakuwa yuko kwenye shughuli alizochaguliwa kufanya?
Maana Sumaye alipokuwa ansoma kule HARVARD huyu mama alikuwa haishiwi vijitripu vya kwenda kule Cambridge. Nimepata nafasi kadhaa kuongea naye kwa karibu lakini naweza kusema kuwa sijui alikuwa na sifa zipi mpaka JK akampa huo ubunge wa kuteuliwa
Uwanja wenu wana JF
Ukiteuliwa na Muadilifu utakuwa muadilifu, ukiteuliwa na fisadi utakuwa nawe fisadi, ukiteuliwa na Mtalii nawe utakuwa mtalii, nafikiri umenipata
Ukizaliwa na mafisadi na wewe utakuwa fisadi!
SHy,
Mbunge Tom Mwangonda hajawai kuchangia hoja yoyote tangu achaguliwe, na bungeni haonekani...ni uchapaji kazi gani huo unaosema
Huyu mama yuko UK sasa mwaka wa Pili anasoma pale Westminster. Lakini cha ajabu hatumuoni kwenye misiba wala magonjwa lakini anaonekana sana kwenye mikutano ya kufungua matawi ya CCM uingereza nzima.
Swali ninalojiuliza ni je anasoma saa ngapi na saa ngapi anakuwa yuko kwenye shughuli alizochaguliwa kufanya?
Maana Sumaye alipokuwa ansoma kule HARVARD huyu mama alikuwa haishiwi vijitripu vya kwenda kule Cambridge. Nimepata nafasi kadhaa kuongea naye kwa karibu lakini naweza kusema kuwa sijui alikuwa na sifa zipi mpaka JK akampa huo ubunge wa kuteuliwa
Uwanja wenu wana JF
Mwacheni huyu Mama, na watu acheni umbeya........shida alizopitia mpaka kufikia hapo alipo........anahitaji kupongezwa na kumpa moyo..........
Naamini kuna Ndugu za Dr. Lunyoro hapa JF..........mambo mliyomfanyia huyu Mama mkishirikiana na ndugu yenu Dr. Lunyoro hayapendezi kabisa.............

huyu mama yuko uk sasa mwaka wa pili anasoma pale westminster. Lakini cha ajabu hatumuoni kwenye misiba wala magonjwa lakini anaonekana sana kwenye mikutano ya kufungua matawi ya ccm uingereza nzima.
Swali ninalojiuliza ni je anasoma saa ngapi na saa ngapi anakuwa yuko kwenye shughuli alizochaguliwa kufanya?
Maana sumaye alipokuwa ansoma kule harvard huyu mama alikuwa haishiwi vijitripu vya kwenda kule cambridge. Nimepata nafasi kadhaa kuongea naye kwa karibu lakini naweza kusema kuwa sijui alikuwa na sifa zipi mpaka jk akampa huo ubunge wa kuteuliwa
uwanja wenu wana jf
Dr Lunyoro wa Engineering UDSM au yupi? na alimfanyia nini?
Kwanza kuhudhuria misiba ni hiari na inategemea na nafasi unaweza kuchangia tu kama mchango unahitajika lakini kuhudhuria si lazima kwa ni kila mtu atakufa siku yake ikifika.