Mbunge Martha Mariki akimuuliza swali Bungeni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,032
974
"Serikali inafanya kazi nzuri na kubwa kujenga miundombinu ya Elimu na kuhakikisha Elimu inafika nchini kote lakini kumekuwa na changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu hali inayopelekea Wanafunzi kupanga vyumba mtaani na Kuhatarisha Usalama wao.

Je, Serikali haioni umuhimu wa kuleta Sera ya ulazima kuhakikisha kwamba inajenga mabweni katika kila Shule ya Sekondari ili kuwasaidia wanafunzi hawa hususani watoto wa kike ambao wamekuwa wakipata changamoto kubwa njiani".

 
Back
Top Bottom