Mbunge Lema apandishwa kizimbani, afunguliwa kesi 2 za jinai. Anyimwa dhamana

Tuko interested kujua charge aliyoshitakiwa nayo,huku mtaani tunajiuliza kwa maneno yale aliyotamka litakuwa ni kosa gani?

1.Sio abusive language -in the real definition of abusive language.
2.Sio deformation.
4.Sio kutishia kuua kwa maneno.
5.Sio uchochezi

Sasa ni kosa gani,mlio mahakamani tusaidie sisi maamuma wa sheria.
Mkuu deformation ndo nini? au ulidhamiria kuandika "defamation"?
 
Mh. GODBLESS J LEMA (MB) wa Jimbo la Arusha Mjini ndiyo anapelekwa Mahakamani muda huu. Atapandishwa kizimbani saa 2:30 asubuhi.
Tafadhali tunaomba Wananchi mjitokeze Mahakamani (RM's COURT) kwa wingi.

Imetolewa na;

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Arusha Mjini

=======================

Updates
More Updates Mahakamani Arusha: Shauri lilifunguliwa na mawakili John Mallya na wenzake kuiomba Mahakama Kuu kuwaamuru Polisi kumfikisha Mahakamani Mh Godbless Lema kwasababu ni ubatili kisheria kuendelea kumshikilia imeshatolewa uamuzi mapema hii na Polisi wamepewa nusu saa wawe wamemfikidha mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu na sio Hakimu Mkazi tena..

******
Hilo ni pigo la kwanza takatifu kwa Jeshi onevu...linalopalilia na kuotesha mbegu mbaya ya kutoheshimu sheria kwa kisingizoo cha 'maagizo toka juu'
Mh GODBLESS J LEMA (MB) wa Jimbo la Arusha Mjini amefikishwa Mahakamani ( RM's COURT) leo Jumanne tarehe 8/11 \2016 majira ya saa 2:10 asubuhi. Kesi yake inasimamiwa na jopo la Mawakili nguli wakiongozwa na John Mallya,
Regold Nkya, Sheck Mfinanga, Charles Adiel.
Mh Jaji MAGIMBI ameamuru Mh GODBLESS J LEMA (MB) aletwe mbele ya Mahakama yake tukufu ndani ya nusu saa kuanzia alipotoa maamuzi hayo saa 3:00 asubuhi.

Lema amefunguliwa kesi mbili za jinai ambazo ni kesi no; 440 na 441
Wakati tunasikiliza kesi iliyofuguliwa na mawakili wetu upande wa jamuhuri wakasema walishamleta mtuhumiwa mahakamani wakati kesi inaendelea kusikilizwa ghafla tukapewa taarifa kwamba wamempandisha mahakama ya hakimu mkazi basi jaji kwa busara akaarisha kesi hadi watakapomaliza kesi ya mh mbunge.
Mahakama inaendelea kinachoendelea Wanasheria wanaanza kupingana kwa vifungu vya sheria.
Mahakama Kuu Arusha imemnyima Dhamana Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kesi itaendelea ijumaa.

Hii nchi sijui inaelekea wapi?
Lema leo ameaga kwa kuonyesha silaha kubwa dunia.. Biblia takatifu baada ya kurudishwa tena magereza baada ya kunyimwa dhamana.
View attachment 430919
View attachment 430922
Leo Mahakama imetenda haki. Mungu mkubwa.
 
Si wamuache tu sero ,kwani yeye papai akikaa huko kuwa ataoza.
Ndg yangu uwe unafikili kabla ya kusema kwa uonevu huu unaoendelea Tz tuombe Rehema za Mungu atunusuru pia tumuombe sana Mungu awape viongozi wetu mioyo ya nyama aondowe mioyo ya jiwe.Ewe Mungu tutetee Mh Lema hiyo silaha uliyoionyesha yaani biblia ni silaha kubwa kupita zote usiogope mtetezi wako yupo.MUNGU AKULINDE NA MABAYA YOTE
 
Kwa hyo jpm atakufa lini?yani wamekataa jpm hafi hivi karibuni kama ndoto ya lema inavosema?mbona sielewi mashtaka ni yapi?hahahahahahahaha
Yani sasa jpm si ndio afurahi katabiriwa siku ya kufa anapata na muda wa kutubu vizuri mana sio kwa midhambi hii.
 
Mh. GODBLESS J LEMA (MB) wa Jimbo la Arusha Mjini ndiyo anapelekwa Mahakamani muda huu. Atapandishwa kizimbani saa 2:30 asubuhi.
Tafadhali tunaomba Wananchi mjitokeze Mahakamani (RM's COURT) kwa wingi.

Imetolewa na;

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Arusha Mjini

=======================

Updates
More Updates Mahakamani Arusha: Shauri lilifunguliwa na mawakili John Mallya na wenzake kuiomba Mahakama Kuu kuwaamuru Polisi kumfikisha Mahakamani Mh Godbless Lema kwasababu ni ubatili kisheria kuendelea kumshikilia imeshatolewa uamuzi mapema hii na Polisi wamepewa nusu saa wawe wamemfikidha mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu na sio Hakimu Mkazi tena..

******
Hilo ni pigo la kwanza takatifu kwa Jeshi onevu...linalopalilia na kuotesha mbegu mbaya ya kutoheshimu sheria kwa kisingizoo cha 'maagizo toka juu'
Mh GODBLESS J LEMA (MB) wa Jimbo la Arusha Mjini amefikishwa Mahakamani ( RM's COURT) leo Jumanne tarehe 8/11 \2016 majira ya saa 2:10 asubuhi. Kesi yake inasimamiwa na jopo la Mawakili nguli wakiongozwa na John Mallya,
Regold Nkya, Sheck Mfinanga, Charles Adiel.
Mh Jaji MAGIMBI ameamuru Mh GODBLESS J LEMA (MB) aletwe mbele ya Mahakama yake tukufu ndani ya nusu saa kuanzia alipotoa maamuzi hayo saa 3:00 asubuhi.

Lema amefunguliwa kesi mbili za jinai ambazo ni kesi no; 440 na 441
Wakati tunasikiliza kesi iliyofuguliwa na mawakili wetu upande wa jamuhuri wakasema walishamleta mtuhumiwa mahakamani wakati kesi inaendelea kusikilizwa ghafla tukapewa taarifa kwamba wamempandisha mahakama ya hakimu mkazi basi jaji kwa busara akaarisha kesi hadi watakapomaliza kesi ya mh mbunge.
Mahakama inaendelea kinachoendelea Wanasheria wanaanza kupingana kwa vifungu vya sheria.
Mahakama Kuu Arusha imemnyima Dhamana Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kesi itaendelea ijumaa.

Hii nchi sijui inaelekea wapi?
Lema leo ameaga kwa kuonyesha silaha kubwa dunia.. Biblia takatifu baada ya kurudishwa tena magereza baada ya kunyimwa dhamana.
View attachment 430919
View attachment 430922
mnashangaa nchi inaendeshwaje na huku lema anaonyesha biblia. kwani hii nchi inaendeshwa kwa biblia. nyie ukawa na lema wenu hakika mumechanganyikiwa. huyu kanjanja wenu anayeigiza umandela lazima aeleze huyo aliyempa maono kwamba rais atakick the bucket kabla ya 2020 kama haachi kutumbua fisadis.
 
Back
Top Bottom