Mbunge Lema apandishwa kizimbani, afunguliwa kesi 2 za jinai. Anyimwa dhamana

Ungejua wewe ndo umeongea upuuuuuzi wala usingekoment...hivi kuna kosa gani mtu kusema kile alichoota?si ajabu we mwenyewe unaota kila siku na kuhadithia wenzio
We ndio umeongea upuuzi! Ndoto za nyumbani kwako unahusishaje na Taasisi ya urais. Unajua unaingilia privacy ya taasisi hii ya kitaifa. Acheni upuuzi. Hivi unajua watumishi wa Mungu
 
Mh. GODBLESS J LEMA (MB) wa Jimbo la Arusha Mjini ndiyo anapelekwa Mahakamani muda huu. Atapandishwa kizimbani saa 2:30 asubuhi.
Tafadhali tunaomba Wananchi mjitokeze Mahakamani (RM's COURT) kwa wingi.

Imetolewa na;

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Arusha Mjini

=======================

Updates
More Updates Mahakamani Arusha: Shauri lilifunguliwa na mawakili John Mallya na wenzake kuiomba Mahakama Kuu kuwaamuru Polisi kumfikisha Mahakamani Mh Godbless Lema kwasababu ni ubatili kisheria kuendelea kumshikilia imeshatolewa uamuzi mapema hii na Polisi wamepewa nusu saa wawe wamemfikidha mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu na sio Hakimu Mkazi tena..

******
Hilo ni pigo la kwanza takatifu kwa Jeshi onevu...linalopalilia na kuotesha mbegu mbaya ya kutoheshimu sheria kwa kisingizoo cha 'maagizo toka juu'
Mh GODBLESS J LEMA (MB) wa Jimbo la Arusha Mjini amefikishwa Mahakamani ( RM's COURT) leo Jumanne tarehe 8/11 \2016 majira ya saa 2:10 asubuhi. Kesi yake inasimamiwa na jopo la Mawakili nguli wakiongozwa na John Mallya,
Regold Nkya, Sheck Mfinanga, Charles Adiel.
Mh Jaji MAGIMBI ameamuru Mh GODBLESS J LEMA (MB) aletwe mbele ya Mahakama yake tukufu ndani ya nusu saa kuanzia alipotoa maamuzi hayo saa 3:00 asubuhi.

Lema amefunguliwa kesi mbili za jinai ambazo ni kesi no; 440 na 441
Wakati tunasikiliza kesi iliyofuguliwa na mawakili wetu upande wa jamuhuri wakasema walishamleta mtuhumiwa mahakamani wakati kesi inaendelea kusikilizwa ghafla tukapewa taarifa kwamba wamempandisha mahakama ya hakimu mkazi basi jaji kwa busara akaarisha kesi hadi watakapomaliza kesi ya mh mbunge.
Mahakama inaendelea kinachoendelea Wanasheria wanaanza kupingana kwa vifungu vya sheria
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesomewa mashtaka ya kutoa lugha za uchochezi dhidi ya Rais Magufuli. Arudishwa rumande baada ya kunyimwa dhamana Moderator Lema ameshtakiwa kwa kutoa lugha za uchochezi dhidi ya Raisi Magufuli rekebisheni

Hii nchi sijui inaelekea wapi?
Lema leo ameaga kwa kuonyesha silaha kubwa dunia.. Biblia takatifu baada ya kurudishwa tena magereza baada ya kunyimwa dhamana.

View attachment 430919
View attachment 430922

Jamani Biblia si kitabu cha kuchezewa labda kwa kutubu makosa ya enzi zile
 
We ndio umeongea upuuzi! Ndoto za nyumbani kwako unahusishaje na Taasisi ya urais. Unajua unaingilia privacy ya taasisi hii ya kitaifa. Acheni upuuzi. Hivi unajua watumishi wa Mungu
Acha ujinga wewe yani leo hii nijizuie kuota kuhusu raisi?na je nikishamuota ni kosa kusema kile nilichoota juu yake?kwa taarifa yako hata mimi Jana nimemuota mtukufu malaika
 
Mh. GODBLESS J LEMA (MB) wa Jimbo la Arusha Mjini ndiyo anapelekwa Mahakamani muda huu. Atapandishwa kizimbani saa 2:30 asubuhi.
Tafadhali tunaomba Wananchi mjitokeze Mahakamani (RM's COURT) kwa wingi.

Imetolewa na;

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Arusha Mjini

=======================

Updates
More Updates Mahakamani Arusha: Shauri lilifunguliwa na mawakili John Mallya na wenzake kuiomba Mahakama Kuu kuwaamuru Polisi kumfikisha Mahakamani Mh Godbless Lema kwasababu ni ubatili kisheria kuendelea kumshikilia imeshatolewa uamuzi mapema hii na Polisi wamepewa nusu saa wawe wamemfikidha mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu na sio Hakimu Mkazi tena..

******
Hilo ni pigo la kwanza takatifu kwa Jeshi onevu...linalopalilia na kuotesha mbegu mbaya ya kutoheshimu sheria kwa kisingizoo cha 'maagizo toka juu'
Mh GODBLESS J LEMA (MB) wa Jimbo la Arusha Mjini amefikishwa Mahakamani ( RM's COURT) leo Jumanne tarehe 8/11 \2016 majira ya saa 2:10 asubuhi. Kesi yake inasimamiwa na jopo la Mawakili nguli wakiongozwa na John Mallya,
Regold Nkya, Sheck Mfinanga, Charles Adiel.
Mh Jaji MAGIMBI ameamuru Mh GODBLESS J LEMA (MB) aletwe mbele ya Mahakama yake tukufu ndani ya nusu saa kuanzia alipotoa maamuzi hayo saa 3:00 asubuhi.

Lema amefunguliwa kesi mbili za jinai ambazo ni kesi no; 440 na 441
Wakati tunasikiliza kesi iliyofuguliwa na mawakili wetu upande wa jamuhuri wakasema walishamleta mtuhumiwa mahakamani wakati kesi inaendelea kusikilizwa ghafla tukapewa taarifa kwamba wamempandisha mahakama ya hakimu mkazi basi jaji kwa busara akaarisha kesi hadi watakapomaliza kesi ya mh mbunge.
Mahakama inaendelea kinachoendelea Wanasheria wanaanza kupingana kwa vifungu vya sheria
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesomewa mashtaka ya kutoa lugha za uchochezi dhidi ya Rais Magufuli. Arudishwa rumande baada ya kunyimwa dhamana Moderator Lema ameshtakiwa kwa kutoa lugha za uchochezi dhidi ya Raisi Magufuli rekebisheni

Hii nchi sijui inaelekea wapi?
Lema leo ameaga kwa kuonyesha silaha kubwa dunia.. Biblia takatifu baada ya kurudishwa tena magereza baada ya kunyimwa dhamana.

View attachment 430919
View attachment 430922

Atakula mvua uyo....... uropokaji mwingi
 
Back
Top Bottom