M-24 Tanzania
Member
- Sep 13, 2013
- 39
- 2
Huyo Hamy D (mwigulu) ni mwongo tu hata mahakama ilithibitisha kama Lema ni innocent kwenye ubunge wake na hapa tena inathibitisha bado huyu savimbi anataka kuwarubuni wanaArusha, yeye abaki na wanyiramba wenzie japo nao wameshamshitukia kuwa sio mtu mzuri,kumbuka mahakama haikaliwi na vihiyo na kama ni kihiyo utaona judgement zake za kijinga na Learned person kama akina Lissu watamsumbua kwa hoja(counts)