Mbunge Lema Anena ya Moyoni

Mbunge Lema Anena ya Moyoni

CCM na polisi wamekosa shabaha kwa kamanda LEMA! na LEMA nimwiba mchungu kwa magamba wote !

Ni kweli aisee, mh.lema ni kiboko ya magamba. Sasa watabakoa kumtukana maana magamba matusi ndio silaha yao kubwa.
 
Lema anaongea maneno mengi sana ana copy kauli za kina Stiven Biko, hizi kauli wala hazina nafasi kwa sasa.
Kuna habari hapa kuwa amekuwa mkimya sana siku hizi inakuwaje wewe unasema ameongea sana?
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.
kama unaona hatufai..sasa piga picha hayo ma------ yako,halafu uyaweke mtandaoni tuona kama yatafaa kupigiwa kura
 
Kunbe juliana mke wa mwigulu chemba upo? Dah! Vipi huko magamba hawajakupa kacheo jameni? Au ndio yale yale ya kutumika kama condoms?
 
Kabisa na mimba juu, kwa sasa ni shemeji yangu na huwa anakuja home tunamkopesha matumizi

Sasa mwano wa nini kama anakusaidia kukutunzia dada yako na bado anaisaidia familia yenu? Ulipaswa uwe unamlamba hata miguu kwa kumshangilia kila apitapo!
 
Huo ndio ukweli;hushinda siku zote;Kumchafua kwa kutengeneza picha haisaidi chochote huo ni uvivu wa kufikiri;;;wana arusha tuendele kuwa wamoja';'
 
wana arusha uwezo wao wa kufikiri upo juu ndiyo maana walimchagua. Pole nenda kachukue bk7 kwa kuingiza siku.
Kauli hii ya nenda kuchukua buku saba, hutolewa na washindwa alieshindwa kutetea hoja ama kujibu. neno hili na matusi hutumika kama silaha ya msaada.
 
Meli yetu iko salama salmini.
Haya ni mawimbi tu na meli yetu ina uzoefu wa kuyavuka kwa ustadi huku kikitaacha manyangumi midomo wazi wakitamani kizame ili wafaidi.

Hakizami kitu hapa na tukutane bandarini tunakotaraji kutia nanga salama salmini.
 
Lema Is great....MaCCM wanakiri hilo.Hakuna ubishi mnayo kazi sana.Lowasa kahubiri ukabila wapi,kafanya vikao vya ukabila na ukanda wapi..sasa asubiri ukanda ukamtafune Yeye.
 
Lema Is great....MaCCM wanakiri hilo.Hakuna ubishi mnayo kazi sana.Lowasa kahubiri ukabila wapi,kafanya vikao vya ukabila na ukanda wapi..sasa asubiri ukanda ukamtafune Yeye.


haya ni yakweli kabsa mkuu na wewe ni great thinker.
 
Back
Top Bottom