Mbunge Lema Anena ya Moyoni

Mbunge Lema Anena ya Moyoni

Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

Unapost wakati nafsi ikiwa inakusuta.....!
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

Mulogo na Lema nani atia aibu?
Maana Mulogo hata sheria hajui, anataka kuongoza kwa mazoea na ubabe ambao kwa dunia ya sasa hawezi kua nao!
Kuwa member wa magamba naona ni tatizo kubwa sana sana tu!
Mnajifanya vipofu wakati mnaona!
Mikona mtu mnajiambia moyoni kuwa hiki ni kivuli sio mtu, mnaendelea kutenda maovu mwishowe mnavuliwa nguo hazarani.
Mnahitaji kufanya mabadiliko makubwa vichwani mwenu ili kwenda sambamba na dunia ya leo!
Ulimwengu unawashangaa sana nyinyi!
Ila nawapa ploe nyingi sana, wakati haurudi nyuma!.
 
Huyo myalukolo nahisi aligongewa demu wake sio bure..We ulishawahi sikia wapi kubakwa abakwe mwanamke afu askari polisi mwanaume aliyefukuzwa kazi ndo analalamika daily... hovyo kweli yani..

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Umepiga za uso .
 
Kesi ilifunguliwa kisiasa na lengo lao ilikuwa washinde baadhi ya kata hapa mjini bahati yao ilivyo nzuri wakapata 4-0 heshima ya mjini;;
 
Kiuhalisia kutumia nguvu zaidi ya akili ni upofu wa fikra.

Neno piga tu ndilo limetawala kwa ccm. CDM wanatenda kwa akili na wanaongea kwa akili.

Nguvu ya hoja na sio hoja ya nguvu.

Hivi, ni lini jamani mtafika mahali mseme sasa hapa tumekuwa? Kila jambo mahakamani na mwisho ushindi. Naona kama nchi inachezewa.

Lema hana shida na mtu zaidi ya kutetea wanyonge.

Wapenda maendelea tunampongeza mh. Lema kwa ushindi na tunamtakia maisha marefu.
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

jamii ya akina Faiza Foxy mna matatizo kweli kweli!
 
Ningekuwa Mulongo , ningejiuzuru kabla hata ya lunch , ya nini aibu yote hii ?
 
Mods, huu utaratibu wa kuweka picha hizi una ruhusiwa humu jamvini?

cc: Paw..

Kama sio demu wako basi atakuwa mzazi wako mbona unalalamika kwa kuona picha. Wewe unavyokosa adabu kwa kusema Mh. Lema kakubaka ulikuwa unaona utamu?
 
Last edited by a moderator:
Alikubaka wewe,mbona hukutujuza,shame on you

Mwanangu kama uko hapo ichenjezya kwa Jimu kula kitimoto nusu kwa Abu nakuja kulipa mimi, umenifurahisha ulivyomjibu huyu Mbulula..
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.
Bado hujasahau zile 4-0? Arusha ni kwa waelewa humwongopei mtu kwa fulana na kapelo. Uchaguzi ujao hampati hata mjumbe wa nyumba kumi hapa.
 
Magamba kipande hii hamna lenu tena,mabomu ya machozi hayakubadili watu mkapiga magrenade mkauwa watu halafu bado mna ndoto na hiyo maeneo?
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.
Mkuu, hivi unajua kashinda kesi? Ushindi huu si wa Lema tu bali ni wa wana Arusha wote na watu wote wanaopinga dhulima za CCM kwa kutumia vyombo vya dola. Maana yake ni kuwa Lema ni chaguo letu wana Arusha na hapo hututoi!!
 
Back
Top Bottom