Mbunge Lema Anena ya Moyoni

Mbunge Lema Anena ya Moyoni

Lema amefunguliwa kesi nyingi sana, na zote zilizotolewa hukumu kawapiga chini magamba na washirika wao.

Big up Kamanda Lema!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Acheni watu waamue wao......Bible says Mbingu ni mali ya MUNGU ila nchi ni mali ya Wanadamu na wanadamu ni wananchi wenyewe....GOD BLESS TANZANIANS

Acha upotoshaji,hiyo ni Biblia ipi?na fungu lipi?mimi nimesoma Biblia tena kwa kurudia rudia sijaona fungu linalosema hivyo.
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

Ha ha haaa...Mbwa ukimwekea nyama kwenye sahani ataitoa tuu na kuiweka ardhini pia ni vgumu sana kubeba mkaa wenye moto kwenye mfuko wa rambo!!!! Nyinyi vibaraka wa ccm Hamna tofauti na wanaopewa heshima na na kuiweka kusikostahili isitoshe haki,amani,utu,uhuru na ustawi wa taifa letu mnaufananisha na rambo yenye moto ndani yake lazima iungue.Pia Watz ni rambo kwenu hadi moto mnawatwika ili waangamie..,,Pro CCM bwana.!!!
 
Huyo atakuwa ametumwa na wanamagamba.ila A town tuko juu saaa ya ukombozi ni sasa.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Moja ya dua na sara zangu kwa M/Mungu kila mara huwa namwombea sana G.Lema.
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

Kipi ni kipi? Mara Lema anatia aibu na upande mwingine Arusha wasitende tena kosa. Hoja yako hii inahusu nini? Watu wanazungumzia kesi wewe unahangaika na Lema aliyeshinda kesi badala ya Mulongo wako.
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

Kwani hiki ni kipindi cha uchaguzi wa wabunge? Wakati mwingine jitahidi kusoma na kuacha yalivyo!
 
Ha ha haaa...Mbwa ukimwekea nyama kwenye sahani ataitoa tuu na kuiweka ardhini pia ni vgumu sana kubeba mkaa wenye moto kwenye mfuko wa rambo!!!! Nyinyi vibaraka wa ccm Hamna tofauti na wanaopewa heshima na na kuiweka kusikostahili isitoshe haki,amani,utu,uhuru na ustawi wa taifa letu mnaufananisha na rambo yenye moto ndani yake lazima iungue.Pia Watz ni rambo kwenu hadi moto mnawatwika ili waangamie..,,Pro CCM bwana.!!!

huyu jamaa halijielewi tenap ni mpuzi unaleta mambo ya ki uccm hapa?pelekea dada zako.
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

sasa ndio umesema nini wewe mpika majungu mwenye mtindio wa ubongo..?
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!! Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.
Kwa hiyo we kenge tukuamini wewe au tuiamini mahakama?
 
Acha upotoshaji,hiyo ni Biblia ipi?na fungu lipi?mimi nimesoma Biblia tena kwa kurudia rudia sijaona fungu linalosema hivyo.

acha kudanganya watu, huwezi soma biblia ukaimaliza hatasikumoja, labda usome kama gazeti.
 
Back
Top Bottom