Ndugu yangu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 680
- 365
...ukweli Lema maneno yake yanaishi,trust me kauli hizi ni za kimapinduzi na ni nadra sana kupatikana na daima zitakumbukwa katika harakati za kuikomboa tanganyika...
Maneno yanayotia moyo na kuamsha hisia kali za kuendeleza mapambano