Mbunge Lema Anena ya Moyoni

Mbunge Lema Anena ya Moyoni

Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

Acha kujitoa ufahamu ndugu sasa hapo katia aibu gani au kushinda kesi kwako ndio kutia aibuu? pole sana ndugu yangu najua unapigania buku 7 ila unatakiwa kutafuta kazi nzuri ili utu wako uwe juu daima.
 
Madamu mulongo alikuwa anakwenda kwenye sendoff! Vipi kwenye Arusi ameelekezwa ilipo au bado inabidi Lema amuelekeze?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

Mpeleke mama yako na mkeo au kimada wako wakagombee jimbo la Arusha mjini ndio watamshinda Lema
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

Mshukuru Mungu mama yako alikuzaa kwa wakati vinginevyo ungepitisha muda kidogo ungezaliwa kilo ya nyama au ungegeuka jipu la kwenye kizazi.
 
Ni kweli sana tu. Tatizo kuna majitu yamezaliwa hayana aibu na akili zao ngumu kuelewa!

Halafu hasa hili jitu linaitw amulongo nisivyolipenda sura na mambo yake nasikia lilikuwa dereva la malori halina taaluma yoyote
 
Mshukuru Mungu mama yako alikuzaa kwa wakati vinginevyo ungepitisha muda kidogo ungezaliwa kilo ya nyama au ungegeuka jipu la kwenye kizazi.

Ingekuwa mimi ndio Amida ndio nimeambia hivi ningejifuta kabisa JF then narudisha malipo ya leo(bk 7) kisha naachana kabisa na project za kilumumba mitandaoni....Mkuu umempa ya kweli sidhan kama amewahi kupewa hii
 
Na mm ndo nilimpiga jiwe huyo mbun thankx G Lema kwa kuifanya uhasibu iheshimike na kujulikana kwa watanzania wote
 
Acheni watu waamue wao......Bible says Mbingu ni mali ya MUNGU ila nchi ni mali ya Wanadamu na wanadamu ni wananchi wenyewe....GOD BLESS TANZANIANS

Mkuu hapo kwenye "nchi ni mali ya wanadamu" nahisi itakuwa bible yako peke yako. Bible ninayoifahamu mimi inasema mbingu na nchi na vyote viijazavyo ni mali ya MUNGU.
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

Pole sana Kibaraka, for sure hujui unachokiwaza mwombe mungu akupe uhai 2015 ushuhudie the fall of Chama Cha Majambazi(CCM). I would like to advice you that "Tembea uone mengi".Tembea uone how majority of TANZANIAN hates the Government, so dont be fool and you are ashamed of your poor cintribution on this forum, Majority wants the wheels to go forwad but you + your poor thinking capacity are acting vise-versa. Dont be the negative thinker HAMY-D
 
Ukimtazama huyu mkuu wa mkoa wa Arusha na utendaji wake na hata tabia yake nje ya ofisi hakika utakubaliana na watu wanaosema nafasi kama ya mkuu wa mkoa na wilaya eidha zifutwe au ziwe za kupigiwa kura na sio kama hivi! Poor magesa morongo!
 
Lema anatia aibu wana Arusha!!!

Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.

Aibu ya nini sasa na wewe Gamba? Waume zako mbona hawajaendeleza kesi?
 
Back
Top Bottom