great_thinker
Member
- Sep 30, 2013
- 7
- 0
Hii kesi... ni kwamba washtaki ndo wameomba kesi ifutwe (withdraw charges) au lema ameweza ku prove kuwa yy ni innocent!?? Naombeni mnieleweshe wadau
wanasheria wa upande wa CCM/ serikali waliomba ifutwe...Hii kesi... ni kwamba washtaki ndo wameomba kesi ifutwe (withdraw charges) au lema ameweza ku prove kuwa yy ni innocent!?? Naombeni mnieleweshe wadau
Kumbe alikubaka? Aisee ...pole...bado ya ubakaji
mkuu nenda kagombee naye ili umshinde mkuu!Lema anatia aibu wana Arusha!!!
Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.
hakuna aliyebakwa yule mdada ni biashara yake hiyo. Hata wewe kama unataka huduma unaweza kuwasiliana naye haina kinyongo andaa helayako tu.
MUNGU akusamehe nakusaidia ili siku ingine uache upumbavu soma ili andiko kutoka 1Wakorintho15:33bado ya ubakaji
mahakama imejiridhisha kuwa mkuu wa mkoa wa arusha alikuja kwenye tukio kama anekwenda kwenye send off party ndiomaana Lema ameibuka mshindi.
Lema anatia aibu wana Arusha!!!
Arusha kutenda kosa sio kosa, ila kurudia kosa ndio kosa; Huyo Lema mkimchagua tena mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana.
hakuna aliyebakwa yule mdada ni biashara yake hiyo. Hata wewe kama unataka huduma unaweza kuwasiliana naye haina kinyongo andaa helayako tu.
...ukweli Lema maneno yake yanaishi,trust me kauli hizi ni za kimapinduzi na ni nadra sana kupatikana na daima zitakumbukwa katika harakati za kuikomboa tanganyika...
Chris Lukosi huyo chizi ndiye huyu?? View attachment 114682
Jamani mwenye copy ya mashitaka naomba atuwekee tujikumbushe kidogo. Nilipoisoma mwanzo sikuamini kuna waendesha mashitaka wa serikali vihiyo namna hii. I hope they are not my classmates.
Vipi ile ya kubaka chizi nayo ameshinda?