Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Nonsence!!!!!!

Inawezekana Malyenge yakawa na effect katika kukusababisha wewe kutokuona upuuzi wote unaotendeka na kujitukuza kwa viongozi waliopewa dhamana nchini, lakini iwapi busara?

Wapo wana wa Israel wengi ambao waliamini kuwa Musa angeweza kuwafikisha kwenye nchi ya asali bila kukumbuka agano la Mungu. Ili lile agano litimie, Mungu aliachia Musa kujitukuza na kuona kwamba yeye alikuwa bora kuliko yule aliyemtuma. Na huyo aliyemtuma alimwambia wazi kuwa hatafika kwenye nchi ya ahadi na ndivyo hivyo ilivyotokea. AGANO LILITIMIA

Silinganishi wanasiasa wa upinzani na mitume/manabii wa kale bali nalinganisha matukio ya nyakati zile na sasa pampja na historia ya ukombozi wowote duniani. Hakuna wa kuzuia AGANO LA UKOMBOZI WA PILI WA WATANZANIA. Tutapiga kelele na kukejeli lakini hakuna atakayelisimamisha AGANO KUTIMIA...Period.
 
Inawezekana Malyenge yakawa na effect katika kukusababisha wewe kutokuona upuuzi wote unaotendeka na kujitukuza kwa viongozi waliopewa dhamana nchini, lakini iwapi busara?

Wapo wana wa Israel wengi ambao waliamini kuwa Musa angeweza kuwafikisha kwenye nchi ya asali bila kukumbuka agano la Mungu. Ili lile agano litimie, Mungu aliachia Musa kujitukuza na kuona kwamba yeye alikuwa bora kuliko yule aliyemtuma. Na huyo aliyemtuma alimwambia wazi kuwa hatafika kwenye nchi ya ahadi na ndivyo hivyo ilivyotokea. AGANO LILITIMIA

Silinganishi wanasiasa wa upinzani na mitume/manabii wa kale bali nalinganisha matukio ya nyakati zile na sasa pampja na historia ya ukombozi wowote duniani. Hakuna wa kuzuia AGANO LA UKOMBOZI WA PILI WA WATANZANIA. Tutapiga kelele na kukejeli lakini hakuna atakayelisimamisha AGANO KUTIMIA...Period.

Na mimi bado niko palepale.....Nonsence!!!!!!!!! Kama unataka kujua kwanini niulize sasa hivi!!!!
 
hawa mapolisi wanajaribu ku divert issue hapa...issue sio lema..issue ni mwanafunzi kauawa na mapolisi mpaka sasa hivi hawajawakamata wahusika..sasa wamemkamata lema kwani yeye ndio aliyeua huyo mwanafunzi?
 
Alishakaa Magereza sembuse central police..UNATUMIKA
Lo!
Kumbe kajamaa ni notorious kihivyo?
Huko lupango alikwenda kwa ajili ya wizi upi, tujuze basi.
Halafu mimi kutumika au kutotumika kunalingana na ufupi au urefu wa akili yako iliyoshabihiana na track record ya watu wa lupango mkuu.

Fact remains Lema kaingia lupango kwa juhudi ake mwenyewe.
 
Inamaana unabusha kuwa muamuazi wa maisha yetu ni MUNGU kama binadamu?

je yeye kuwepo Lupango ndio ishakuwa mwisho wake?

La hasha , sina busha mkuu!!!
Naamini ulikuwa unamaanisha kukumbusha!
Lema aliposhinda rufaa yake na kuwabwaga wale jamaa waliokuwa wanmbugudhi katika ubunge wake, naamini aliteleza na kujilinganisha na Mungu kuwa ni yeye au Mungu ndio wataamua hatma yake ya ubunge kule Arusha.

Mungu naye anajibu papo kwa papo, leo jamaa yuko lupamgo kwa mambo ya ajabu na ambayo wala hakupaswa kuwepo!
Kuna uwezekano kujisahau huko kumewapa mwanya wale wanaomwona mwiba kupeleka lupango.
Kwenda lupango siyo mwisho lakini ni fundisho kwa sie wengine.
Wacha Mungu aitwe Mungu !!
 
Mkuu natumaini uko serious; acha Lema wabaya wa Mwangosi walimtoa roho, Dr. Ulimboka kafanyiwa alivyofanyiwa, hivi karibuni kuna Kibanda, Lwakatare WABAYA WANATIGHT TU. Natumaini huna maana ya kuwa tusitetee tunaowajua wanatightiwa.
Mkuu kuna mtu kasema Tundu Lissu yupo , asiwe na wasi wasi.
 
Na mimi bado niko palepale.....Nonsence!!!!!!!!! Kama unataka kujua kwanini niuliza sasa hivi!!!!

I'm sorry, mie nina macho ninaweza kutazama na kutambua kwa kuchuja matukio mbalimbali yanayotokea nchini. Siwezi kuona au kusema kwa niaba yako bali katiba ya Jamhuri ya Tanganyika inalinda mawazo yetu sote regardless to our disabilities such as malyenge e.t.c.
 
lema analeta uchochezi na ni mtu hatari kwa taifa letu..kama kuna watu wanafikiri lema ni shujaa basii wamepotea.sizazi kama mtu mwenye akili anaweza kuchochea fujo badala ya kutafuta suluisho la tatizo..POLENI IAA.Tusiruhusu wanasiasa kuingilia hata mambo yasiyowahusu.


Uchochezi gani?
Facts ni facts.
 
I'm sorry, mie nina macho ninaweza kutazama na kutambua kwa kuchuja matukio mbalimbali yanayotokea nchini. Siwezi kuona au kusema kwa niaba yako bali katiba ya Jamhuri ya Tanganyika inalinda mawazo yetu sote regardless to our disabilities such as malyenge e.t.c.

Rudi kwenye AGANO unalolipigia debe...Litazame kwa macho unayojisifia. Kisha elezea nani aliandika hilo agano.....
 
Watanzania wana kila sababu ya kulalamika jinsi jeshi la polisi linavyonyanyasa wananchi na kujifanya kuwa wako juu ya sheria. Lakini watanzania hawana sababu yoyote ya kuzuia haya manyanyaso hadi pale agano la Mungu litakapotimia. Kwa wale waliowahi kusoma biblia, utaona hakukuwa na mtu yeyote na hata mitume waliokuwa na uwezo wa kuzuia agano litimie.

Sisi kama watanzania tunapaswa kujiandaa ili agano hilo litimie. Hili agano ni "MATESO KWA VIONGOZI NA WANANCHI KWA UJUMLA KABLA YA UKOMBOZI". Akina Mulongo wako wengi na Mungu ameruhusu wawepo ili agano lake litimie. Agano ni process, linapitia stages nyingi zikiwemo Mwangosi kuuawa kinyama, kubambikwa kesi za kiaina, watu kuteswa na mengine mengi yajayo.
HILI AGANO HALIWEZI KUZUIWA KAMA MAAGANO MENGINE.

Uvumilivu una mwisho; wahenga walisema "subira yavuta kheri" lakini walisema pia ngojangoja yaumiza tumbo. Watanzania huu si muda wa kulalamika tena maana masikio yao wametia pamba; labda tulalamike kwa Mungu wetu. Lakini tunapaswa kuchukua hatua ili kukamilisha safari ya ukombozi wa kweli kutoka kwa mkoloni mweusi CCM
 
Hivi wewe jamaa huwezi kuona kabisa au ni makusudi tu? Kiasi kwamba unasimamia hata vitu ambavyo mtoto wa darasa la kwanza anauona kuwa huu ni ukweli. Pole sana ndugu yangu siku moja Historia itakuhukumu

Na mimi bado niko palepale.....Nonsence!!!!!!!!! Kama unataka kujua kwanini niulize sasa hivi!!!!
 
Taarifa za sasa kutoka Arusha ni kwamba Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi Arusha na kuhojiwa kwa tuhuma za uchochezi wa vurugu za Wanafunzi wa chuo cha Uhasibu dhidi ya Mkuu wa Mkoa Arusha juzi.

Taarifa za uhakika kutoka kwa mke wa Mh. Lema sasa hivi ni kwamba Polisi wamekataa kutoa dhamana yake na kusema mpaka jumatatu ndio itajulikana.

Namkariri Mke wa Lema akiongea na TheTZA millardayo.com akisema “jana usiku saa sita kasoro watu walikuja kugonga nyumbani kwetu tukamtuma kijana aende kutazama ni kina nani, aliporudi akasema ni Polisi.. sisi hatukuamini na tulikataa kwa sababu hatukujua kama ni Polisi kweli au ni watu wanataka kuitumia hiyo nafasi kufanya uhalifu, mimi nimeshinda Polisi kutwa nikifatilia gari mbona chochote hakikutokea?”

“Baada ya muda kusogea ikabidi Lema aanze kuwapigia marafiki, jamaa na baadhi ya viongozi wa Chadema, kabla ya hapo pia tuliamua kupiga kengele ya kampuni ya security ambao muda mfupi baadae walikuja na gari yao huku Polisi wakiendelea na vitisho kwamba watapiga mabomu na kuvunja ukuta la sivyo Lema ajisalimishe, Viongozi wa Chadema na marafiki walipowasili wakamshauri Lema ndio akajitokeza wakati huo ni saa tisa usiku” – Mama Lema


“Alipojitokeza Polisi walimchukua na mimi nikaondoka nao, tulipofika kituoni walimtaka Lema kutoa maelezo lakini alikataa na kusema mpaka mwanasheria wake aje hivyo akapelekwa rumande, asubuhi tulipoamka na kuanza kufatilia.. R.C.O alisema yuko kwenye kikao na haongei na yeyote isipokua Mwanasheria wa Lema, walipomaliza kikao saa nane maelezo yakaanza kutolewa huku Mwanasheria akiwepo na kazi ikamalizika jioni saa 11 ambapo Polisi wamekataa kutoa dhamana mpaka Jumatatu” – Mama Lema

“shitaka kubwa lililo mbele yake ni uchochezi na kauli ambayo anadaiwa Lema kuitoa mbele ya Wanachuo cha Uhasibu kwamba dhambi kubwa kuliko zote ni uoga, na hata leo kwenye maelezo Lema amewaambia watu wa Arusha mjini hivyohivyo, kwamba dhambi kubwa kuliko zote ni uoga” – Mama Lema

Kwa kumalizia, Mke wa Mbunge Lema amesema “gari letu lililokua linashikiliwa na Polisi tumerudishiwa baada ya kutakiwa kulipia elfu 50 ya wale waliolivuta, gari liko zima kabisa………… toka nimeolewa na Lema nimeshuhudia akienda polisi zaidi ya mara 20, mara yake ya kwanza kushuhudia anapelekwa polisi ni wakati wa kampeni za Ubung
 
Hii nayo ni habari unajaza server ya jf tu wakati mtu hata kuchangia jf huwa huchangii
 
kuna mzee mmoja mwanajeshi mstaafu alikuwa studio za chanel ten asubuhi nilimpenda sana kwani anaijua dunia hii vibaya na alisema ukiona serikali inatumia mabavu ujue mwisho umefika.

haya ya lema kama ni siku ni saa kumi alfajiri.
 
ndugu AKA2030
umejiunga juzi tu Join Date : 5th January 2013
Posts : 233
Rep Power : 432
Likes Received36
Likes Given0
mleta mada ni wa tangu 2007 Karibu miaka kumi
kama huna cha kuchangia bora ukae kimya au kwa vile umeahidiwa unapojibu post
ndivo utakavolipwa Lumumba? ok kachukue mshiko wao
sheria za JF soma vizuri usiwe na mdomo refu kama mbayuwayu.
Mtoa mada asante kwa taarifa
 
Back
Top Bottom