Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Wewe una uhakika gani kama hana kosa? Tatizo la tz sikuhizi ni kila mtu amekua polisi.

sawa sawa mkuu mf. Mkuu wa mkoa Mulongo alivyo na chuki binafsi na Lema mpaka kuamuru atupiwe kesi..vipi mshalipwa leo Lumumba.
 
Njoo uvue nguo wewe hapa Arusha utaona kitakachokutokea. RC kavua nguo kalikoroga toka mwanzo subiri mwisho wake[/QUOTE]

Tehe...tehe..nimeipenda hii ewe mwana CD4..oh sorry CDM...
 
Baada ya mabishano ya muda mrefu nyumbani kwa kada huyu na Mbunge wa Arusha mjini na uvamizi onevu wa Polisi wakati huu wa usiku; Mh. Lema amekubali kukamatwa na amechukuliwa na gari la polisi wakati huu na kupelekwa kituo kikuu cha polisi Arusha yaani Central Polisi.

Wananchi wengi wamejitokeza ku-support mbunge wao na huenda Asubuhi wananchi wakawa wengi zaidi.

Scene two ni hali itakavyokuwa huko polisi.

Updates
Sasa wamefika CLocktower anasindikizwa na msululu wa magari ya makada waliojitokeza ku-support kuelekea kituo cha polisi.

Baada ya kumfikisha Lema Central police Arusha amesachiwa na kuingizwa ndani. Kamanda Lema alikuwa ameambatana na magari ya makamanda waliomsindikiza ili kushuhudia kinachojili hapo kituoni.

Hivi sasa polisi wamewafukuza makamanda wote hapo kituoni na kuwaambia hawatakiwi kuonekana hapo. Makamanda wameondoka kwa amani na kwenda kupaki Safari hoteli wakisubiriana kupata mwongozo.

03:41am
Wamekutana pembeni ya kituo cha polisi na wamekubaliana kuwa watawanyike wakalale hadi kesho asubuhi watajuzwa kinachoendelea. Hivyo, Lema yupo ndani na wananchi waliomsindikiza wametawanyika kwenda kulala. Tutaonana asubuhi kwa yale yatakayojiri.

11:15am
Kwa sasa Lema bado yuko ndani na bado hajahojiwa. Kwa sasa anasubiriwa Mwanasheria wake ili ahojiwe. Mpaka sasa hakuna tamko lolote juu ya sababu za kukamatwa kwake. Baada ya kuhojiwa huenda mwanasheria wake atasema kilichojiri. Watu waharuhusiwi kukaa au kusimaa vikundi vikundi eneo la polisi.

Earlier by Emanzi:

MUNGU na awe pamoja na kamnda wetu...TUTASHINDA
 
usalama wa taifa unafanya kazi gan?... bado watanzania tuna uliza weledi wa usalama
 
Watanzania wana kila sababu ya kulalamika jinsi jeshi la polisi linavyonyanyasa wananchi na kujifanya kuwa wako juu ya sheria. Lakini watanzania hawana sababu yoyote ya kuzuia haya manyanyaso hadi pale agano la Mungu litakapotimia. Kwa wale waliowahi kusoma biblia, utaona hakukuwa na mtu yeyote na hata mitume waliokuwa na uwezo wa kuzuia agano litimie.

Sisi kama watanzania tunapaswa kujiandaa ili agano hilo litimie. Hili agano ni "MATESO KWA VIONGOZI NA WANANCHI KWA UJUMLA KABLA YA UKOMBOZI". Akina Mulongo wako wengi na Mungu ameruhusu wawepo ili agano lake litimie. Agano ni process, linapitia stages nyingi zikiwemo Mwangosi kuuawa kinyama, kubambikwa kesi za kiaina, watu kuteswa na mengine mengi yajayo.
HILI AGANO HALIWEZI KUZUIWA KAMA MAAGANO MENGINE.
 
duuu mungu atusaidie na hawa sisim watupishe tuu
 
Viongozi wa chadema asilimia 80 wanakunywa na kula bangi.
 
Nawasiwasi hili tukio mpaka 2015, litakua limesahaulika, na watz kama kawaida yao wakiletewa viuno stejini na akina Dokii, wanawahau picha ya Dr Slaa.
 
JKT(National Service) kwenda tu ilikuwa ishu, wengi wao wanaogopa mazoezi ya kiukakamavu, ila wanataka waitwe MAKAMANDA. Hawa watu ni vichaa kweli. Mbona Mwigulu ameenda na amefuzu lakini hata siku moja hajawai kujipa jina la "KAMANDA"

CHADEMA na viongozi wake msifikiri sifa inaokotwa kama unavyookota maembe, sifa inatafutwa (it's earned).

Hii kweli ni Tanzania.

Good mkuu!!! Usiwaonee aibu....Lema ni Kamanda wa fujo!!!!!
 
Watanzania wana kila sababu ya kulalamika jinsi jeshi la polisi linavyonyanyasa wananchi na kujifanya kuwa wako juu ya sheria. Lakini watanzania hawana sababu yoyote ya kuzuia haya manyanyaso hadi pale agano la Mungu litakapotimia. Kwa wale waliowahi kusoma biblia, utaona hakukuwa na mtu yeyote na hata mitume waliokuwa na uwezo wa kuzuia agano litimie.

Sisi kama watanzania tunapaswa kujiandaa ili agano hilo litimie. Hili agano ni "MATESO KWA VIONGOZI NA WANANCHI KWA UJUMLA KABLA YA UKOMBOZI". Akina Mulongo wako wengi na Mungu ameruhusu wawepo ili agano lake litimie. Agano ni process, linapitia stages nyingi zikiwemo Mwangosi kuuawa kinyama, kubambikwa kesi za kiaina, watu kuteswa na mengine mengi yajayo.
HILI AGANO HALIWEZI KUZUIWA KAMA MAAGANO MENGINE.

Nonsence!!!!!!
 
Back
Top Bottom