Mbunge Komu kuongea na wanahabari kesho

Mbunge Komu kuongea na wanahabari kesho

Kwa kusambaratika cdm ndiyo itanusuru uchumi wa Tanzania usiporomoke?

In God we Trust
Huyu nimesoma kule M4C kuwa anahamia NCCR... wacha aende. Kuna tetesi kuwa Mbatia ameahidiwa majimbo 20 na magufuli alipokwenda Ikulu, hivyo this guy Komu is takng chance of that offer
 
..komu si alijiunga na cdm akitokea nccr?

..binafsi akienda nccr nitamheshimu kuliko akienda ccm.
yes, nadhani anarudi huko. This is confirmed. Whatever, kama si NCCR atakuwa anarudi CCM. Ole mushi amaeandika makala ndefu juu yake akisema kuwa kuondoka kutaiumiza CDM, sidhani maana Moshi ni waelewa kwa kiasi fulani. anafuata 20 post offered to Mbatia
 
VIP pacha wake kubenea? Sasa mbunge Wa moshi anaongelea dar ikoje? Kila mbunge ameng'ang'ania dar.
 
Huyu nimesoma kule M4C kuwa anahamia NCCR... wacha aende. Kuna tetesi kuwa Mbatia ameahidiwa majimbo 20 na magufuli alipokwenda Ikulu, hivyo this guy Komu is takng chance of that offer
Haahaa yaani ccm ikuachie majimbo 20, haahaa huo Ni uwongo Wa mchana kweupe
 
yes, nadhani anarudi huko. This is confirmed. Whatever, kama si NCCR atakuwa anarudi CCM. Ole mushi amaeandika makala ndefu juu yake akisema kuwa kuondoka kutaiumiza CDM, sidhani maana Moshi ni waelewa kwa kiasi fulani. anafuata 20 post offered to Mbatia

..wanaenda kuumiza upinzani.

..wanakwenda kugawa kura za wapenda mageuzi.

..nadhani kubenea ataenda act-wazalendo.
 
..wanaenda kuumiza upinzani.

..wanakwenda kugawa kura za wapenda mageuzi.

..nadhani kubenea ataenda act-wazalendo.
Wanaenda sawa, lakini ushawishi wa vyama hivyo ni mdogo. Let us wait and see. Labda kwa vile watasaidiwa na Jiwe kukimbia na masanduku ya kura au kutangaza hata aliyepata 1:100 kama mshindi!
 
Haahaa yaani ccm ikuachie majimbo 20, haahaa huo Ni uwongo Wa mchana kweupe
Tetesi zinasema hivyo. CCM inaogopa CDM na after all wanajua hata wakikuachia majimbo 20, you are part of them on the back door, as long as hupingani nao katika kushikilia dola au wanakwambia lipi la kupinga kupoteza "maboya" na natii, basi huna athali kwao. nadhani umenielewa
 
Mbunge wa Moshi vijijini Anthony Komu anatarajia kuongea na wanahabari siku ya kesho juu ya mustakabali wa masuala mbalimbali katika nchi yetu.

Stay tuned!!!
View attachment 1402373
Kwani mpaka azungumze, hata angeyaandika tunge muelewa tu.
Kapewa kibali kuongea jijini Darisalama?!

Mbunge wa Moshi vijijini anaongea nini na watu wa Darisalama?!

Hahaha azuiwe anataka kutuambukiza Corona

Lumumba ofisi imefungwa?!
 
Back
Top Bottom