Huyo anahamia CCM....... Leo muda mwingi amekuwa na mzee Mgaya wakijadiliana!Mbunge wa Moshi vijijini Anthony Komu anatarajia kuongea na wanahabari siku ya kesho juu ya mustakabali wa masuala mbalimbali katika nchi yetu.
Stay tuned!!!
Niwa chama ganiMbunge wa Moshi vijijini Anthony Komu anatarajia kuongea na wanahabari siku ya kesho juu ya mustakabali wa masuala mbalimbali katika nchi yetu.
Stay tuned!!!
Chadema kinazidi kusambaratikaSasa mbona Mbowe joto la mwili litazidi, jamaa si angesubiri kidogo?
ni mbunge wa Moshi(v) anatokea chama cha chadema.Komu ...Ndo nani.....?
Aisee.Chadema kinazidi kusambaratika
ni mbunge wa Moshi(v) anatokea chama cha chadema.
nahisi ndo wale wale wanaounga juhudi