Mbunge Komu kuongea na wanahabari kesho

Mbunge Komu kuongea na wanahabari kesho

Anaeuliza Komu ndiyo nani unawezahisi swali la kijinga!!! Mbunge Komu kuita mkutano na waandishi wa habari kujadili mambo ya nchi!!!. Mbunge wa Arusha press inafanyikia Dar!!! Hii Komu ni kamati ya bunge!! Ndiyo maana walizuiwa kufanya mikutano nje ya majimbo yao kwa sababu ya upuuzi kama huu.
 
Siku za nyuma nilikuwa naogopa kuhusu viongozi kuhama, baada ya kujua wananchi wanajitambua na kuwapuuza, sina shaka kabisa nikisikia hao viongozi wanahama. Tena naona ni kama wanachelewa kuhama. Sisi tujikite kwenye kudai tume huru ya uchaguzi kwa nguvu zetu zote. Bado cdm ina mtaji mkubwa wa watu, ni juu yao kuweka wagombea wenye uwezo kwani ina wapiga kura kibao.
 
Let him go, kama cdm tunaamini kabisa kuwa ndiyo chama cha upinzani cha kweli na hata kama itatokea tukakosa kuwa na mbunge kwenye serekali kama hii tuliyo nayo.
Huyu nimesoma kule M4C kuwa anahamia NCCR... wacha aende. Kuna tetesi kuwa Mbatia ameahidiwa majimbo 20 na magufuli alipokwenda Ikulu, hivyo this guy Komu is takng chance of that offer

In God we Trust
 
Cdm tutabakia sisi wapinzani wa kweli tu na tutaendelea kukipenda chama chetu na kuendelea kuwatetea wananchi wetu bila kuchoka
..wanaenda kuumiza upinzani.

..wanakwenda kugawa kura za wapenda mageuzi.

..nadhani kubenea ataenda act-wazalendo.

In God we Trust
 
Tetesi zinasema hivyo. CCM inaogopa CDM na after all wanajua hata wakikuachia majimbo 20, you are part of them on the back door, as long as hupingani nao katika kushikilia dola au wanakwambia lipi la kupinga kupoteza "maboya" na natii, basi huna athali kwao. nadhani umenielewa
Mmh, ngumu kumeza...
 
Back
Top Bottom