Kuna mmoja kakimbia jimbo baada ya kulitelekeza kaenda ukuryani kule nako wamemletea nomaHivi walio hama wameleta mabadiliko yapi huko waliko CCM?
Mwenye mfano hata wa mmoja aliye hama na amefanya positive anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app