Mbunge Kigwangalla apata ajali mbaya (2012)

Mbunge Kigwangalla apata ajali mbaya (2012)

Status
Not open for further replies.
Maiti ipo mortuary, bwana ametoa, bwana ametwaa jina la bwana li2kuzwe

hata polisi walileta utani hivyo na vyombo vya moto, nao sasa vimewadhuru RIP BARO!
ndugu Mola si shemeji yako, epuka kualika mabaya kwa mwenzako!
 
Mwenyezi mungu amnyanyue na kumponyesha upesi.akatete watu wa Nzega
 
yakikuzidi sana ndugu yangu mganga rejea fani yako ya utabibu!pole na matatizo na upone haraka!
 
Hahaha nimemsikia kwenye tv sikutaka kupoteza muda kumsikiliza mara nakuta kapata ajali



seriously ....????



ahh! mbona nimeiokosa hii alitangaza lini.. kingwa! anaanza kuwa mchekeshaji sasa...

anyways get well soon dactari..


 
amelazwa wapi nkammalizie?


Kalazwa central dr ni kova na security yake ni vyuma vyenye kuruka Na kulipuka vina nchaa Kali wewe utaenda na nini?
Prepaire yourself kova his there for yah niggardly
 
Hizi habari za kweli au?... maana naona michango iliyomo humu kama vile utani utani mtupu...
 
Wanangu, nilishasema uroho wa madaraka ni mbaya. Mtamalizana bure. Heri wanaotaka kuendelea kuishi na kupinga wajiondoe CCM. Kama mkibaki kule hata wakiwakolimba msilaumu mtakuwa mmeyataka wenyewe. As long as ni CCM wanaomalizana so be it ingawa nao ni wanangu.
 
Hivi nyinyi mnaomwombea mwenzenu kifo nyinyi ni milima mtaishi Milele?,mnauhakika wa kuiona kesho?Mna mkataba na Mungu?
Embu punguzeni roho mbaya,Mnaogopesha!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom