Mbunge Kigwangalla apata ajali mbaya (2012)

Status
Not open for further replies.

chikakatata

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
220
Reaction score
98
Nimepata taarifa za kusikitisha kwamba Mbunge wa Nzega amepata ajali mbaya baada ya gari aliyokuwa akisafiria kuchomoka tairi. Ajali hii imetokea akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano mkuu wa CCM Mkoa. Taarifa hizi zimetangazwa mkutanoni na Katibu wa CCM mkoa huo bwana Ame.

Hii ni ajali ya tatu kumpata ndani ya wiki moja, watu wanajiuliza hivi anatafutwa ama ni bahati mbaya tu?
 
Ha ha ha ha Mambo mazito SSM? Akipona atafute dereva mwingine!!!! Kambi ya Bashe ikifadhiliwa na yule fisadi anayehemea urais si ndogo!!!
 
Nimepata taarifa za kusikitisha kwamba Mbunge wa Nzega amepata ajali mbaya baada ya gari aliyokuwa akisafiria kuchomoka tairi. Ajali hii imetokea akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano mkuu wa CCM Mkoa. Taarifa hizi zimetangazwa mkutanoni na Katibu wa CCM mkoa huo bwana Ame.

Hii ni ajali ya tatu kumpata ndani ya wiki moja, watu wanajiuliza hivi anatafutwa ama ni bahati mbaya tu?

Labda ametangaza kugombea urais akifikiri ni lahisi, magamba wanampima ubavu kama amekomaa!
 
Pole sana Kigwangala... Mungu atakujalia utapona.
 
Niko pembeni hapa kufuatilia yanayojiri kuhusu huyo Dk.
 
Jimbo la Igunga halina mbunge.... sasa na Nzega na Igunga sio mbali sana wamepakana.... Namuombea Mungu ampe ahueni apone haraka ...
Get well soon
Doctor!!!
 
walikuwepo kina Kolimba, Kambona, Tuntemeke, Sokoine walijaribu kufurukuta lakini wakakutana na waftini wakawamalizia mbali....
Leo naona kuna kina Kigwangalah n.k pia watapita maana CCM ina wenyewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom