sina cha kuchangia as long as kigwa sioni kama ana faida kwangu zaid ya kujutia kura yangu,nzega hatuna maji na wakati tumezungukwa na mabwawa mawili na pia tupo karibu kbs na mgodi,stend yenyewe imejaa vumbi na takataka,hakuna sehem ya kutupia taka ngumu wala maji machafu,sioni alichokifanya kwa huu muda wa miaka 3 zaidi ya ubabe na mabifu ya kijinga tu.