mimi siwakubali CDM kwakila kitu lakini unapozungumzia kuhusu Sugu na hiyo habari na ushahidi ulio tandaza hapo jukwaani niko kinyume na wewe,hatukatai kuwa ubunge unahadhi yake lakini sijaona Sugu alicho haribu zaidi ya kueleza hisia zake, nadhani mzee CTU unacho doubt ni Sugu kushindwa kutumia old English kufikisha message yake..Lakini tambua Sugu simwakilishi wa CDM tu wala wanambeya,Sugu ni mwanaharakati wa masela wa mtaa au watu wamtaa,he still the inspiration and encouragement of people for what he is doing,miaka mingi sana kijana wa kitanzania kanyimwa fursa na kanyanyaswa na hawa wazee wetu tunao watetea kuwa ndo icon lakini ndo wahuni number moja zaidi ya Sugu,ndo hao wanaotembea na wadogo zetu na kuwaachia miwaya,ndo hao wanao shiriki kwenye drug dealing,hujuma mbalimbali ambazo zinadidimiza vijana..now umemuona Sugu hooligan kwa message alioitoa..nadhani kuna zama zilikupita ndugu kama hata late HIP HOP legend Eric White aliweza kuingia White house bila business suite kwanini iwe Sugu kutamka hayo..
Siugomvi tunawekana sawa