Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

Sugu anapenda sana kitimoto, nlimuona pale kimara siku moja, ila ni viongozi wengi wa chadema wanakula sana nguruwe
 
Mitandao ya kijamii imekuwa kama ni moja ya nyenzo ya mawasiliano baina ya "mtu na mtu" na hata "mtu na watu"

Wafanyabiashara mbalimbali wamekuwa wakitumia mitandao hii kama njia moja ya mawasiliano na wateja wao hivyo hivyi na wanasiasa wamekuwa wakitumia mitandao hii kwa ajili ya kuwasiliana na wananchi wao au tuseme wapiga kura wao

ila kuna kitu nimekiona sio sawa kinachoendelea ndani ya mitandao hii ya kijamii.. nayo ni aina ya uwasilishwaji wa ujumbe kutoka kwa watu hao kwenda kwa wananchi wao..

sijui niseme ni usela, au utoto content inaweza kuwa ni nzuri ila sasa kwa jinsi ilivyoandikwa inakuwa ni utumbo kama sio ushuzi mpaka unakaa unasema huyu kweli na umri huu anaweza kufanya hili anayoyafanya

naweza kusema kuwa ni elimu ila pia nasema ni kutojitambua kwani kuna watu wengi hawana degree wala masters ila kwa umri wao wanafanya mambo ambayoni ya kistaarabu, uongeaji wao na uandishi wao unafuata staha

Mbunge wa Mbeya Mh Joseph Mbilinyi aliwaandikia maelfu ya wafuasi wake au tuseme wapiga kura wake message hii

CDM: We riding high in the sky with them choppers...n people on the ground all over understand n love our messages ...

sio mara moja au mara mbili uandishi wa Mh huyu unakuwa ni wa utata na usioendana na hadhi yake ya
mbunge na watu wa aina hii ndio wanafanya ubunge kuwa kama ni kazi ya wahuni na wavuta bangi ndio maana sitashangaa kesho Afande Sele nae anasema anataka kwenda bungeni.

wote tunaelewa sugu alikuwa msela na mwanamziki wa bongo fleva lakini pia aelewe nyakati zinabadilikka aangalie na muktadha wa kuandika na kuongea maneno ajue neno gani alitumie wapi akiwa chini ya kivuli gani

sugu kama anajua yeye shule haipo aajiri basi mtu wa kuwa anamwandikia alieyeenda shule mtu ajue ni jinsi gani ya kuandika na kufikisha ujumbe kwa watu na watu wakamwelewa....
sio anaandika ujumbe kwa wananchi wake au wapiga kura wake anaandika kama vile yuko studio na p funk wanarekodi nyimbo...

Ubunge una hadhi yake katika jamii na ndio maana wenzetu wana ma PA sidhani sugu kama ane... kama anae basi atakuwa ni MGOSI MKOLONI ambaye nae ni wale wale..

Sugu ajitambue ajue Mbeya, Tanzania wako wanamwangilia yeye basi aact kama Mbunge sio anakuwa kama Mvuta Bangi
kutoka Uswahilini na kuanza kuandika ushuzi kama wavuta bangi wengine tu , Sugu ajitofautishe yeye na mtoto wa miaka 16 ambaye kazoea kuvaa supra na suluari za kubana ambaye kakurupuka asubuhi na kuanza kupost utumbo

Aangalie mfano kutoka kwa wanasiasa wenzake kama vile
ZITTO KABWE, SLAA, NA MH JAKAYA MRISHO KIKWETE

Mh sugu wewe ni mtu mzima bwana acha utoto kuwa kama Mbunge basi ni hayo tu

- Kaka hebu andika hoja Sugu ni mbunge it does not matter anaandika nini kwani wananchi walipomchagua hawakujua kwamba ni bongo Fleva star, sasa walitegemea nini hasa ipi tofauti ya yeye kuandika hivi au wabunge na viongozi wezi wanaobehave kama unavyotaka, sometimes mnaudhi sana humu kosa la Sugu hapo ni nini kuandika lughja anayoijua sana angesema Obama ingekuwa sawa wewe unakumbuka Obama alipikuja mke wake alivaa nini? Mbona hukuja kulia huku kuwa mke wa Obama hakuvaa sawa?

- Please hebu tumieni hizi nafasi kuelimisha wananchi matatizo na solution, wewe mtumzima na akili timamu unahangaika na lugha ya Bongo Fleva who happen to be Mbunge, badala ya kualalama na viongozi wezi wanaouturudisha nyuma please leave the man alone kaka!!

Le Mutuz
 
Nasikitika sana kuonga nguvu kazi ya taifa kama wewe ukiongea kitu hiki
Utasikitika sana lakini ukweli utabaki pale pale ,waliomchagua sugu walimwelewa ,wanamwelewa na wataendelea kumwelewa mpaka pale atakapo badilika na kuwa mbunge wa maigizo ndipo watakapoacha kumwelewa!
 
How old are you..?? Exactly.?
Unafananisha Obama na sisi kweli..? Wao ni wao wana utamaduni wao na sisi ni sisi tuna utamaduni wetu wao wana ustaarabu wao sisi tuna ustaarabu wetu..

Obama alishawahi kumwambia Kanye west kuwa yeye ni "JackAss" leo hii Jk amwambie Diamond hilo neno ni sawa? Linaendana na sisi utamaduni wetu, staha yetu na ustaarabu wetu kama watanzania.??

Obama huyu huyu neno "kickass" ni kawaida kumsikia kitu ambacho sio ustaarabu kwetu..
Kuvaa kaptura kwa mke wa obama ni sawa kwa wao ila sio sawa kwetu na ndio maana Firts lady wetu ni mtu wa vitenge na vilemba kwani ndio ustaarabu wetu..
Ndio maaana anayoyafanya obama mimi siyazungumzii kwani hanihusu ni wao na wana utaratibu wao..huku ukiuleta unaonekana kituko..

Na sishangai wewe ndugu malecela unayoyafanya unaonekana kituko, unaonekana una utoto, unaonekana kichwani empty.. Am sorry to tell you this ila ndio majority ya watu wanakuona hivyo.. Umejiuliza kwanini..??
Kwa sababu una tatizo..
Tuyaache hayo..twende kwa sugu..

Mtu ukichaguliwa na wananchi unatakiwa u behave according na mfumo wa hao wananchi upoje (majority) regardless una usela au huna.. Kuna jinsi ya kuongea na watu, kuna jinsi ya kuandika kwa watu regardless unatumia lugha gani iwe kiswahili, kingereza au hata kichina

Na sijui kwanini naandika hivi wakati hivi vitu mlifundishwa darasani( kama ulipita)
 
Utasikitika sana lakini ukweli utabaki pale pale ,waliomchagua sugu walimwelewa ,wanamwelewa na wataendelea kumwelewa mpaka pale atakapo badilika na kuwa mbunge wa maigizo ndipo watakapoacha kumwelewa!

Hivi mkuu naomba nikuulize swali dogo tu
Ni kitu gani cha wana mbeya mlichomtuma sugu akakiwakilisha bungeni..?
 
wewe ndio ulivyoandika hakuna point hapo
mie sijaongelea kupendwa kwa mbunge sugu mbeyaa mjini mie nimeongelea kujitambua kwa Mbunge sugu kuwa yeye ni mbunge na act kama Mbunge sio kuact kama mtangazaji wa planet bongo

wewe na wale wapiga meza wenzako ndo hamjitambui kabisa, huna mbele wala nyuma.
 
Wewe ndo' bure kabisa huna hata hiyo akili unayoita ya kivuta bangi, neno lipi hapo baya katika huo ujumbe wa sugu?
Next time tumia kichwa na sio mat.ako inapoleta sredi, Damn ----*n hater!

Hahahahhahaa yaaan nashindwa hata cha kuongezea hivi ni lazkma uwe kama wabunge Wa ccm matatizo kibao na bado wanaunga hoja?
Kipi kimemkera kuhusu tht msg?
Mwacheni sugu nyie sio levo yenu kabisa
 
Hawezi kuwa Level za wanasiasa wanaojielewa
R.I.P Chacha Wangwe
 
Ili wakuelewe zungumza nao kwa lugha yao..

Wapiga kura wengi na chachu ya mabadiliko Taifa hili ni "Vijana"

Kwenye mtandao tajwa hapo wengi wao ni "Vijana"..

This is what happens "When We Ride On Our Enemies".
 
Mkuu huo msitu umekutisha ngoma 2015 mafidi mtaona chamoto chadema wako juu umeona umati huo ?
 
Mbunge kama huyu anayevuta kwanini yupo Bungeni??

ipo siku wabunge wa aina hii watataka muswada wa bangi ihalalishwe Tanzania...

ipo tu siku

ok , sasa nimekuelewa , kumbe ni PERSONAL ATTACK !
 
Mkuu C.T.U, pole sana kwa kukwazwa! Mheshimiwa, siku zote nyani haoni kundule! Umemponda sana huyu jamaa japo ulikuwa na pointi sehemu flani lakini wewe mwenyewe umerudia tatizo lile lile, umetumia maneno yasiyo ya staha wala chembe chembe yoyote ya ustaarabu (rejea maneno ya blue kwenye bandiko lako nililokopi) japo wewe umesoma kuzidi mheshimiwa, kifupi hata wewe elimu yako haikukusaidia (rejea maneno yako katika rangi ya 'purple'). Mkuu, tatizo hata wewe hujajitambua ndiyo maana umetumia akili hiyo hiyo ya ku 'critisize' akili ya uandishi wa jamaa unayemtuhumu!
Mitandao ya kijamii imekuwa kama ni moja ya nyenzo ya mawasiliano baina ya "mtu na mtu" na hata "mtu na watu"

Wafanyabiashara mbalimbali wamekuwa wakitumia mitandao hii kama njia moja ya mawasiliano na wateja wao hivyo hivyi na wanasiasa wamekuwa wakitumia mitandao hii kwa ajili ya kuwasiliana na wananchi wao au tuseme wapiga kura wao

ila kuna kitu nimekiona sio sawa kinachoendelea ndani ya mitandao hii ya kijamii.. nayo ni aina ya uwasilishwaji wa ujumbe kutoka kwa watu hao kwenda kwa wananchi wao..

sijui niseme ni usela, au utoto content inaweza kuwa ni nzuri ila sasa kwa jinsi ilivyoandikwa inakuwa ni utumbo kama sio ushuzi mpaka unakaa unasema huyu kweli na umri huu anaweza kufanya hili anayoyafanya

naweza kusema kuwa ni elimu ila pia nasema ni kutojitambua kwani kuna watu wengi hawana degree wala masters ila kwa umri wao wanafanya mambo ambayoni ya kistaarabu, uongeaji wao na uandishi wao unafuata staha

Mbunge wa Mbeya Mh Joseph Mbilinyi aliwaandikia maelfu ya wafuasi wake au tuseme wapiga kura wake message hii

CDM: We riding high in the sky with them choppers...n people on the ground all over understand n love our messages ...

sio mara moja au mara mbili uandishi wa Mh huyu unakuwa ni wa utata na usioendana na hadhi yake ya
mbunge
na watu wa aina hii ndio wanafanya ubunge kuwa kama ni kazi ya wahuni na wavuta bangi ndio maana sitashangaa kesho Afande Sele nae anasema anataka kwenda bungeni.

wote tunaelewa sugu alikuwa msela na mwanamziki wa bongo fleva lakini pia aelewe nyakati zinabadilikka aangalie na muktadha wa kuandika na kuongea maneno ajue neno gani alitumie wapi akiwa chini ya kivuli gani

sugu kama anajua yeye shule haipo aajiri basi mtu wa kuwa anamwandikia alieyeenda shule mtu ajue ni jinsi gani ya kuandika na kufikisha ujumbe kwa watu na watu wakamwelewa....
sio anaandika ujumbe kwa wananchi wake au wapiga kura wake anaandika kama vile yuko studio na p funk wanarekodi nyimbo...

Ubunge una hadhi yake katika jamii na ndio maana wenzetu wana ma PA sidhani sugu kama ane... kama anae basi atakuwa ni MGOSI MKOLONI ambaye nae ni wale wale..

Sugu ajitambue ajue Mbeya, Tanzania wako wanamwangilia yeye basi aact kama Mbunge sio
anakuwa kama Mvuta Bangi kutoka Uswahilini na kuanza kuandika ushuzi kama wavuta bangi wengine tu , Sugu ajitofautishe yeye na mtoto wa miaka 16 ambaye kazoea kuvaa supra na suluari za kubana ambaye kakurupuka asubuhi na kuanza kupost utumbo

Aangalie mfano kutoka kwa wanasiasa wenzake kama vile
ZITTO KABWE, SLAA, NA MH JAKAYA MRISHO KIKWETE

Mh sugu wewe ni mtu mzima bwana acha utoto kuwa kama Mbunge basi ni hayo tu
 
Last edited by a moderator:
Mitandao ya kijamii imekuwa kama ni moja ya nyenzo ya mawasiliano baina ya "mtu na mtu" na hata "mtu na watu"

Wafanyabiashara mbalimbali wamekuwa wakitumia mitandao hii kama njia moja ya mawasiliano na wateja wao hivyo hivyi na wanasiasa wamekuwa wakitumia mitandao hii kwa ajili ya kuwasiliana na wananchi wao au tuseme wapiga kura wao

ila kuna kitu nimekiona sio sawa kinachoendelea ndani ya mitandao hii ya kijamii.. nayo ni aina ya uwasilishwaji wa ujumbe kutoka kwa watu hao kwenda kwa wananchi wao..

sijui niseme ni usela, au utoto content inaweza kuwa ni nzuri ila sasa kwa jinsi ilivyoandikwa inakuwa ni utumbo kama sio ushuzi mpaka unakaa unasema huyu kweli na umri huu anaweza kufanya hili anayoyafanya

naweza kusema kuwa ni elimu ila pia nasema ni kutojitambua kwani kuna watu wengi hawana degree wala masters ila kwa umri wao wanafanya mambo ambayoni ya kistaarabu, uongeaji wao na uandishi wao unafuata staha

Mbunge wa Mbeya Mh Joseph Mbilinyi aliwaandikia maelfu ya wafuasi wake au tuseme wapiga kura wake message hii

CDM: We riding high in the sky with them choppers...n people on the ground all over understand n love our messages ...

sio mara moja au mara mbili uandishi wa Mh huyu unakuwa ni wa utata na usioendana na hadhi yake ya
mbunge na watu wa aina hii ndio wanafanya ubunge kuwa kama ni kazi ya wahuni na wavuta bangi ndio maana sitashangaa kesho Afande Sele nae anasema anataka kwenda bungeni.

wote tunaelewa sugu alikuwa msela na mwanamziki wa bongo fleva lakini pia aelewe nyakati zinabadilikka aangalie na muktadha wa kuandika na kuongea maneno ajue neno gani alitumie wapi akiwa chini ya kivuli gani

sugu kama anajua yeye shule haipo aajiri basi mtu wa kuwa anamwandikia alieyeenda shule mtu ajue ni jinsi gani ya kuandika na kufikisha ujumbe kwa watu na watu wakamwelewa....
sio anaandika ujumbe kwa wananchi wake au wapiga kura wake anaandika kama vile yuko studio na p funk wanarekodi nyimbo...

Ubunge una hadhi yake katika jamii na ndio maana wenzetu wana ma PA sidhani sugu kama ane... kama anae basi atakuwa ni MGOSI MKOLONI ambaye nae ni wale wale..

Sugu ajitambue ajue Mbeya, Tanzania wako wanamwangilia yeye basi aact kama Mbunge sio anakuwa kama Mvuta Bangi
kutoka Uswahilini na kuanza kuandika ushuzi kama wavuta bangi wengine tu , Sugu ajitofautishe yeye na mtoto wa miaka 16 ambaye kazoea kuvaa supra na suluari za kubana ambaye kakurupuka asubuhi na kuanza kupost utumbo

Aangalie mfano kutoka kwa wanasiasa wenzake kama vile
ZITTO KABWE, SLAA, NA MH JAKAYA MRISHO KIKWETE

Mh sugu wewe ni mtu mzima bwana acha utoto kuwa kama Mbunge basi ni hayo tu

amekusikia ujumbe umefika.
 
Back
Top Bottom