Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

Mbunge Joseph Mbilinyi Sugu mara moja moja acha "UTOTO"

Kwa kitendo cha sugu kuandika hayo binafsi sioni tatizo sana hasa ukichukulia content ya ujumbe wenyewe, tabia ya kutotendea haki cheo cha ubunge ni wabunge wengi wanyeshida ambao hawafai kuwa role model kwa vijana mfano utoaji lugha za matusi,kauli zenye upeo mdogo n.k kumuandika sugu peke yake sioni fairness.nilitegemea uandike na kwa mifano wabunge ambao hawatendei haki vyeo vyao
Nilitegemea mada iwe pana siyo kimhusu mtu mmoja
 
Kwa kitendo cha sugu kuandika hayo binafsi sioni tatizo sana hasa ukichukulia content ya ujumbe wenyewe, tabia ya kutotendea haki cheo cha ubunge ni wabunge wengi wanyeshida ambao hawafai kuwa role model kwa vijana mfano utoaji lugha za matusi,kauli zenye upeo mdogo n.k kumuandika sugu peke yake sioni fairness.nilitegemea uandike na kwa mifano wabunge ambao hawatendei haki vyeo vyao
Nilitegemea mada iwe pana siyo kimhusu mtu mmoja

Mfano yule aliye sema siongei na mbwa naongea na mfuga mbwa huyu jamaa anaona alikuwa sahihi.
 
Mkuu C.T.U acha uzandiki..
Wengine walitamka ---- you bungeni,haukutoa thread yoyote kupinga hyo kauli.!
Inawezekana sijui kiingereza hila sijaona tatzo hapo zaid ya wivu wa kike..
 
Last edited by a moderator:
Tumia akili kidogo tu! Wewe ni verified user halafu unaandika ujinga. Any way jina lako linatoa uelekeo wa kitu unachotaka kukisikia. Unapenda wabunge wa CDM wasifiwe hata kama ni kinyaa! Ila ngoja nikwambie kitu, hata siku moja nchi hii haitakuja kutawaliwa na genge la mbumbumbu (CDM). Hatuwezi kusoma halafu tuje tutawaliwe na mbumbumbu walioshindwa shule. Take it or leave it.

Duh, mkuuu umetawaliwa na ukabila kichwani..........jina lake linahusika nn na jibu alotoa??
Una uhakika gani ni CDM huyo??? Si lazima mtu awe chadema ndo apinge pumba aloandika jamaa ako huyo, pumba ni pumba, ikimwagika baharini itaelea tuuuuuuu
 
Mkuu C.T.U, pole sana kwa kukwazwa! Mheshimiwa, siku zote nyani haoni kundule! Umemponda sana huyu jamaa japo ulikuwa na pointi sehemu flani lakini wewe mwenyewe umerudia tatizo lile lile, umetumia maneno yasiyo ya staha wala chembe chembe yoyote ya ustaarabu (rejea maneno ya blue kwenye bandiko lako nililokopi) japo wewe umesoma kuzidi mheshimiwa, kifupi hata wewe elimu yako haikukusaidia (rejea maneno yako katika rangi ya 'purple'). Mkuu, tatizo hata wewe hujajitambua ndiyo maana umetumia akili hiyo hiyo ya ku 'critisize' akili ya uandishi wa jamaa unayemtuhumu!

Umeeleweka mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Yaani mleta mada umekaa ukajifikiria ukatoka na kitu kama hiki.. duh..! Kazi ipo kama vijana wa Tanzania ndo hawa.
 
Yaani mleta mada umekaa ukajifikiria ukatoka na kitu kama hiki.. duh..! Kazi ipo kama vijana wa Tanzania ndo hawa.



Nimeshakuzoea hunisumbui..
Nakujua siku nyingi tokea enzi zile unatoka na yule mtangazaji wa tv
 
Mitandao ya kijamii imekuwa kama ni moja ya nyenzo ya mawasiliano baina ya "mtu na mtu" na hata "mtu na watu"

Wafanyabiashara mbalimbali wamekuwa wakitumia mitandao hii kama njia moja ya mawasiliano na wateja wao hivyo hivyi na wanasiasa wamekuwa wakitumia mitandao hii kwa ajili ya kuwasiliana na wananchi wao au tuseme wapiga kura wao


ila kuna kitu nimekiona sio sawa kinachoendelea ndani ya mitandao hii ya kijamii.. nayo ni aina ya uwasilishwaji wa ujumbe kutoka kwa watu hao kwenda kwa wananchi wao..

sijui niseme ni usela, au utoto content inaweza kuwa ni nzuri ila sasa kwa jinsi ilivyoandikwa inakuwa ni utumbo kama sio ushuzi mpaka unakaa unasema huyu kweli na umri huu anaweza kufanya hili anayoyafanya

naweza kusema kuwa ni elimu ila pia nasema ni kutojitambua kwani kuna watu wengi hawana degree wala masters ila kwa umri wao wanafanya mambo ambayoni ya kistaarabu, uongeaji wao na uandishi wao unafuata staha

Mbunge wa Mbeya Mh Joseph Mbilinyi aliwaandikia maelfu ya wafuasi wake au tuseme wapiga kura wake message hii


CDM: We riding high in the sky with them choppers...n people on the ground all over understand n love our messages ...


sio mara moja au mara mbili uandishi wa Mh huyu unakuwa ni wa utata na usioendana na hadhi yake ya
mbunge na watu wa aina hii ndio wanafanya ubunge kuwa kama ni kazi ya wahuni na wavuta bangi ndio maana sitashangaa kesho Afande Sele nae anasema anataka kwenda bungeni.

wote tunaelewa sugu alikuwa msela na mwanamziki wa bongo fleva lakini pia aelewe nyakati zinabadilikka aangalie na muktadha wa kuandika na kuongea maneno ajue neno gani alitumie wapi akiwa chini ya kivuli gani

sugu kama anajua yeye shule haipo aajiri basi mtu wa kuwa anamwandikia alieyeenda shule mtu ajue ni jinsi gani ya kuandika na kufikisha ujumbe kwa watu na watu wakamwelewa....
sio anaandika ujumbe kwa wananchi wake au wapiga kura wake anaandika kama vile yuko studio na p funk wanarekodi nyimbo...

Ubunge una hadhi yake katika jamii na ndio maana wenzetu wana ma PA sidhani sugu kama ane... kama anae basi atakuwa ni MGOSI MKOLONI ambaye nae ni wale wale..

Sugu ajitambue ajue Mbeya, Tanzania wako wanamwangilia yeye basi aact kama Mbunge sio anakuwa kama Mvuta Bangi
kutoka Uswahilini na kuanza kuandika ushuzi kama wavuta bangi wengine tu , Sugu ajitofautishe yeye na mtoto wa miaka 16 ambaye kazoea kuvaa supra na suluari za kubana ambaye kakurupuka asubuhi na kuanza kupost utumbo

Aangalie mfano kutoka kwa wanasiasa wenzake kama vile
ZITTO KABWE, SLAA, NA MH JAKAYA MRISHO KIKWETE




Mh sugu wewe ni mtu mzima bwana acha utoto kuwa kama Mbunge basi ni hayo tu


Wabunge wa.pu.mba.vu wanapatikana kwenye chama cha wapuuzi tuh,sio kosa lao na usiwaamshe waliolala.

Ni wa kupuuzwa tuh hao.
 
Hawezi kuwa Level za wanasiasa wanaojielewa
R.I.P Chacha Wangwe

huna lolote wewe zaidi ya chuki zako za kipumbafu! badala ya kuleta hoja za msingi zinazohusu maisha ya kila siku ya mtanzania wewe unaleta uharo!!
 
Kwa kitendo cha sugu kuandika hayo binafsi sioni tatizo sana hasa ukichukulia content ya ujumbe wenyewe, tabia ya kutotendea haki cheo cha ubunge ni wabunge wengi wanyeshida ambao hawafai kuwa role model kwa vijana mfano utoaji lugha za matusi,kauli zenye upeo mdogo n.k kumuandika sugu peke yake sioni fairness.nilitegemea uandike na kwa mifano wabunge ambao hawatendei haki vyeo vyao
Nilitegemea mada iwe pana siyo kimhusu mtu mmoja

Mada ni pana recently tumemuona sugu hata hivyo kina Nkamia , Kibajaji, Serukamba wote hao tulikuwa mada zao tulizozijadili hapa kutokana na maneno yao yasiokuwa na staha
 
huna lolote wewe zaidi ya chuki zako za kipumbafu! badala ya kuleta hoja za msingi zinazohusu maisha ya kila siku ya mtanzania wewe unaleta uharo!!

Kila siku tunaongelea hoja za msingi zinazohusu maisha ya mtanzania unless wewe ni mgeni wa JF

Ila haujafikiria nje ya square...
Mtoto wa miaka 15 mwenye ndoto ya kuwa kiongozi wa siasa 2040 akiona Sugu anayoyaandika sasa hivi..
Na jinsi anavyofikisha ujumbe yeye kichwani mwake anajenga mawazo kuwa mbunge ni mtu wa aina gani..?
 
Mkuu C.T.U acha uzandiki..
Wengine walitamka ---- you bungeni,haukutoa thread yoyote kupinga hyo kauli.!
Inawezekana sijui kiingereza hila sijaona tatzo hapo zaid ya wivu wa kike..

Huoni tatizo kwa sababu unachoangalia ni maana ya ujumbe au unautafsiri ujumbe huo kwa kiswahili na kukupa maana..

Kamwe hapo hautaona tatizo
Ila swali ni kuwa alitakiwa aandike hivyo..??
Au mtoto wa miaka 16 div 5 ndio anatakiwa aandike hivi..??

Na kuhusu Serukamba nimeshajibu karibia hundred times ilishaletwa , tulishaijadili na mie nilikuwa kati ya watu waliochukizwa na maneno ya serukamba kama jinsi nilivyoshangazwa na utoto wa Sugu
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri tunatakiwa kujadili tatizo na siyo individual kulingana na hoja yako. La sivyo kesho tutasema fulani ikitoka tena fulani lakin tukijadili tatizo la wabunge kutokuwa na mfano mzuri kwa jamii itasaidia kutokurudiarudia mada kama ambavyo umesema kuwa baadhi ya wabunge walishajadiliwa humu.mada ya aina hii haitakuja kuisha kwa sababu wabunge wetu hawaishi vituko
 
Hivi mkuu naomba nikuulize swali dogo tu
Ni kitu gani cha wana mbeya mlichomtuma sugu akakiwakilisha bungeni..?
Kumbe ulikuwa na yako nyuma ya pazia na sio kaandika nini?,kabla hujajibiwa na wanambeya Je ni Mbunge wa Jimbo lako?
 
How old are you..?? Exactly.?
Unafananisha Obama na sisi kweli..? Wao ni wao wana utamaduni wao na sisi ni sisi tuna utamaduni wetu wao wana ustaarabu wao sisi tuna ustaarabu wetu..

Obama alishawahi kumwambia Kanye west kuwa yeye ni "JackAss" leo hii Jk amwambie Diamond hilo neno ni sawa? Linaendana na sisi utamaduni wetu, staha yetu na ustaarabu wetu kama watanzania.??

Obama huyu huyu neno "kickass" ni kawaida kumsikia kitu ambacho sio ustaarabu kwetu..
Kuvaa kaptura kwa mke wa obama ni sawa kwa wao ila sio sawa kwetu na ndio maana Firts lady wetu ni mtu wa vitenge na vilemba kwani ndio ustaarabu wetu..
Ndio maaana anayoyafanya obama mimi siyazungumzii kwani hanihusu ni wao na wana utaratibu wao..huku ukiuleta unaonekana kituko..

Na sishangai wewe ndugu malecela unayoyafanya unaonekana kituko, unaonekana una utoto, unaonekana kichwani empty.. Am sorry to tell you this ila ndio majority ya watu wanakuona hivyo.. Umejiuliza kwanini..??
Kwa sababu una tatizo..

Tuyaache hayo..twende kwa sugu..

Mtu ukichaguliwa na wananchi unatakiwa u behave according na mfumo wa hao wananchi upoje (majority) regardless una usela au huna.. Kuna jinsi ya kuongea na watu, kuna jinsi ya kuandika kwa watu regardless unatumia lugha gani iwe kiswahili, kingereza au hata kichina

Na sijui kwanini naandika hivi wakati hivi vitu mlifundishwa darasani( kama ulipita)

- Kaka how old are you? Kwani umri wako kaka ndio unaokupa hii authority ya kumfundisha Sugu mbunge what to say and how to say? So foolish wewe ni mtu wawapi unayeamini kwamba wewe tu ndiye mwenye lugha safi ila Sugu kwa vile haongei kama wewe basi lugha yake sio nzuri then how come yeye ni Mbunge na wewe sio? Umri wako ndio nini kaka ndio unakupa sababu ya kuwa mburulazzz wa kundika ujinga like this wewe ni nani kwamba unajua the standard ya kuongea ila waliomchagua Sugu hawajui who are u mamen kwenye hili Taifa la Tanzania? Sugu ni mbunge maana yake ni kwamba wananchi waliomchagua walijua lugha yake ni yao ndio maana wakamchagua sio wewe mburulazzz!!

- Wewe una utamaduni gani ambao umekufanya usiwe mbunge na yeye asiyekuwa nao akawa? Nyamaza wewe huna hoja ila una wivu mimi siwapendi Chadema lakini sio kwenda this low, tunataka kubadilika wajinga kama wewe mnalilia ujinga ujinga wa kizamani, peleka huko kaka Wananchi wa Mbeya waliomchagua Sugu wanaridhika na lugha yake walijua hii ndio lugha anayoiutmia kwenye muziki wake anaoimba wewe mbona hawakukuchagua kaka? Wewe una utamaduni gani zaidi ya ujinga wa kusumbuliwa na wivu, wacha kaka huna utamaduni wowote zaidi ya kusumbuliwa na wivu huna hoja jadili Sugu Kushindwa kwa Sugu kufanya kazi yake lakini ya lugha zake kwa wapenzi wake wa muziki hayakuhusu kaka!!

- Kaka mimi sio level yako hii ni ngoma kubwa mambo yangu huyawezi wewe sema anything you want ila wajinga hawana maisha kama yangu, halafu jifunze kuongea on your behalf kwa sababu wewe huna ruhusa ya kumuongela anybody ni mjinga mjinga sana unless unawaongelea wajinga kama sio wenye akili, ukiwa na nafasi njoo hapa ofisini kwangu nikufundishe namna ya kutumia mitandao kupata pesa sio kuharibu majina ya watu kama Sugu ambao sio llevel yako kaka, Sugu anauza muziki wake kwa wananchi wanaopenda hiyo lugha na wananchi wa jimbo lake wamemchagua kwa kujua kwamba anatumia hiyo lugha, pole sana wewe huna mamalaka yoyote hapa nchini kaka wala hakuna anyekujua, so nyamaza tu,

- Siwapendi Chadema lakini this is too low, wewe kama huwezi kudeal na hiyo lugha funga masikio ila hata mimi naongea hiyo lugha na nipo ok, kama vipi njoo hapa ofisi yangu ipo hapa karibu na sanamu ulipokuwa ubalozi wa Uingereza nipo gorofa ya tisa, njoo nikufundishe namana ya kutafuta pesa kwenye mitandao sio kwa kutumia njia ya kuwatukana wabunge huwezi kaka, pole sana ila huna hoja kabisa kwa sababu wewe ni no body wa kuamualia lugha watu wengine Tanzania nani kakupa hayo mamalaka?

- Shut up mamen and mind your busnesss!!

Le Big Show
 
Back
Top Bottom