Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga

Atalegezaje nati dereva wakati na ye mwenyewe yumo!? kwani ye haogopi kufa!

we jamaa upo na elim darasa la ngapi? Hivi overhaul na service huwa wanafanya madereva eti?

Sasa nimeelewa sabab ya wewe kukomenti hovyohovyo kila topic kwa low level of understanding.
 
Pole rais wa mbeya.magamba wanapokezana kwenye post kama wamekula viloba.mngu atakuponya viva kamanda sugu a.k.a.rais
 
Sugu Jay.jpg
 
Angekufa mwakyembe angefurai sana,ccm leo wangefanya mboge la part
 
Njama Zipi Tena? Na Najua LAZIMA Tu Utakuwa Una Maanisha Kuwa Ni Watu Wa Chama Tawala Kuwa Pengine Ndiyo Wamecheza Mchezo Na Kusababisha Hiyo Ajali. Kuna Mtu Wa CCM Ameipindua Hadi Ikapinduka? Hebu Tuwe TUNAJUA KUFIKIRI Kidogo Na Samahani Kama Nitakuwa Nimekukwaza. Hivi Humo Humo Chamani Kwake Hawezi Kuwa Na Madui Zake? Anyway Pole Sana Mheshimiwa Sugu Na Ni Matumaini Yangu Kuwa Utaitungia Bonge La Songi Ajali Hiyo!

Kwa nini asiseme ni laana ya kumtelekeza mke na mtoto wake?
 
Pole sana kamanda Sugu,

Mwakyembe ni mshirikina sana huyo mzee.
Mungu ni mwema kamanda.

Wao wana majini7, sie tuna Mungu

Ila Alipopewa SUMU Ya Cynaid Hizo Ndumba Zake Hazikufua Dafu. Mimi Napenda Sana UCHAWI Wa Kizungu Ambao Upo More Scientific Na Ni Wa Kimaendeleo Zaidi Na Wa Faida Siyo Huu Wetu Wa Kutoana Mishipa Na Mitezi Dume!
 
Kwa uzoefu wangu na huo mlima kama sio breki basi mheshimiwa alijiachia sana likamshinda hatimae akaparamia ukuta na kupinduka.

Na huo mlima Gari likikuzidi paramia ukuta ndio salama yako.

Pole mheshimiwa kwa kusalimika.
 
pole sana mr ii sugu hawa magamba wameamuwa kuwapindua na magari walianzia kwa UPENDO PENEZA wakakwama wameludi kwako na bado wamekwama sijuwi watahamia kwa nani???????
 
lile bonde limekunywa damu nyingi sana mizimu ya kale na majini inagombania bonde lile ni lango la kuzimu kanda ya kusini kafara za damu zinatolewa

kuthibitisha hili ukitembea kule kwenye poromoko utakuta mifupa mingi na mafuvu ya binadamu na wanyama .

Miaka 50 Yetu Na Ushei Ya Tanzania Yetu Na ktk Kuamini Hizi IMANI ZA KISHIRIKINA na KUPENDA USHIRIKINA Tumefanikiwa Na Lipi La Kujivunia? Huwa Napatwa Na KICHEFUCHEFU Nikiona Mijitu Ina Amini ULOZI Badala Ya Kumtumainia Mwenyezi Mungu Kwa Kila Jambo.
 
Back
Top Bottom