Sioi amemuoa binti wa Edward Lowassa aitwae Pamela.....
Amefia MOI hospital
kafa kizalendo zaidi
Msiba upo Mbezi Maeneo ya Rainbow karibu na nyumba za BOT nyumbani kwa marehemu ! Waheshimiwa na mawaziri wamekuja kufariji familia. Kuna wanaJF wengi tu
Mbunge Jeremiah Sumari amefariki dunia. source: itv
jf nyie wakaliii ilishasemwa hapa juu ya idadi ya chaguzi ndogo kabla ya 2015 A mashariki ikiwemo. Poleni wafiwa
mkuu tukumbushe alijibuje na swali lilikuwaje kwa faida ya wengi