Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

Rejea mchango wangu kwamba Mtanzania anajitambua (asiye ******** na lofa)na anajua haki zake na wapi pa kuzipata, Kikatiba, akizikosa. Wewe bado kwa kushabikia wanasiasa wakutumie kufanikisha malengo yao!

Hivi hujatambua tu kuwa viongozi wa CHADEMA, baada ya kushindwa kuwashawishi Watanzania kuwaingiza Ikulu, kwa kauli mbiu ya 'mabadiliko Lowasa - Lowasa nabadiliko', wanahaha sasa kutafuta jinsi ya kuvuruga juhudi za 'mabadiliko' ya kweli ya Rais Magufuli na viongozi wenzake katika Serikali ya awamu ya 5.

Kuna Watanzania wanajifanya kipofu wakati macho yao yaona kinachoendelea. Wapo wengine wanajifanya hawasikii wakati maasikio yao mazima yanasikia. Ila naamini wana matatizo ya kuchambua pumba na mchele, kama ilivyotokea wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2015 kuzungusha mikono.
Muda wa siasa za Kampeni umekwisha wasubiri 2020. Kwa sasa, vyama vya upinzani:

1) Vijiimarishe kaa siasa za maendeleo (kutimiza ahadi) kwenye majimbo waliyopewa ridhaa na Watanzania kuongoza. Kama Serikali, kwa njia yoyote itawawekea vikwazo, halali kuhamasisha Wananchi kupinga hilo.

2) Vitumie mafanikio ya maendeleo katika majimbo hayo kujijenga kisiasa.

3) Hata kama Serikali haikosilewi moja kwa moja, kushindwa kwake kutimiza ahadi zake, kutumike kuiondoa madarakani 2020.

SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA KAMWE
Wewe ni mwongo chama kingekuwa na sifa au viashiria unavyosema kingekuwa kimefutiwa usajiri.
 
cat.jpg
 
Sikuzote huwa najiuliza....nyinyi watu wa Arusha....kati ya wakaz wote wa jiji la Arusha....mkaona ni vema Lema awe mbunge wenu?nani aliwaloga?hivi unaweza kutembea kifua mbele...unajivunia kuwa na mbunge kama lema?
 
Hii ya kukamata viongozi wetu itatufanya tuanze maandamano kabla ya tar 1

Ndugu yangu mdomo uliponza kichwa. na sheria hii ya mitandao, hala hala usije ukasababisha jukwaa letu maarufu likapata msukosuko bure kwamba linachochea vurugu.

Tusubiri tusikie amekamatwa kwa kosa gani. yeye ni binadamu, anaweza hata akawa anadaiana na jirani yake.
 
Sikuzote huwa najiuliza....nyinyi watu wa Arusha....kati ya wakaz wote wa jiji la Arusha....mkaona ni vema Lema awe mbunge wenu?nani aliwaloga?hivi unaweza kutembea kifua mbele...unajivunia kuwa na mbunge kama lema?
sisi tunajivunia kua na lusinde mkuu.
 
Sikuzote huwa najiuliza....nyinyi watu wa Arusha....kati ya wakaz wote wa jiji la Arusha....mkaona ni vema Lema awe mbunge wenu?nani aliwaloga?hivi unaweza kutembea kifua mbele...unajivunia kuwa na mbunge kama lema?
Mzee hili si swala la kuwauliza hawa wana AR, Lema bado atakuwepo kwa kipindi kirefu hapo. Labda ungetafuta swali lingine la kuuliza. Je umejiuza ni kwanini Korogwe Vijijini walimchagua Profesa Maji Marefu?
 
Hii kamata kamata nayo ni aina ya demokrasia mpya Tanzania. Maana wakiwambiwa ni utawala *** wanakasirika, sasa labda tuamini tu kwamba kuna demokrasia nyingine ambapo kukamatwa watu, kuzuwiwa kufanya shughuli za siasa, kuzuiwa kukosoa... ni sehemu ya matendo ya demokrasia hiyo..
 
kama tulivyosema miaka hii mitano ni ya kusikia na kuona mambo mengi ya ajabu,tutaendelea hivi mpaka mwaka 2020
 
Ni utawala wa aina gani tena watu hukamatwa kila siku??? nimesahau hata aina za utawala siku hizi. Mnaojua mtukumbushe..
 
Naona serikali inazidi kutia kachumbari ktk pilau la sept mos, tujazeni tu sumu vizuri tupate morali
Ni kweli, kumbe mmegundua ee! Sept 1 jitokezeni wengi ili ule msemo "kifo cha wengi ..." utimie, maana mtakavolabuliwa, hadi nawaonea huruma.
 
Sikuzote huwa najiuliza....nyinyi watu wa Arusha....kati ya wakaz wote wa jiji la Arusha....mkaona ni vema Lema awe mbunge wenu?nani aliwaloga?hivi unaweza kutembea kifua mbele...unajivunia kuwa na mbunge kama lema?

Silly questions....
 
Back
Top Bottom