Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,854
Mkichunguza mgundue nini..umeambiwa tunatoa dhahabu au almasi?Ndiyo maana tunataka mchunguzwe ndani yenu kuna kitu mtu kuanzia darasa la tano umeanza kulala lockup?
Mkichunguza mgundue nini..umeambiwa tunatoa dhahabu au almasi?Ndiyo maana tunataka mchunguzwe ndani yenu kuna kitu mtu kuanzia darasa la tano umeanza kulala lockup?
Mkuuu kipindo kama hiki ndio hasa mazungumzo ni muhimu zaidi kuwepo kuliko kipindi kingine chochote kuwahi kutokeaHivi kwa mwendo huu kuna haja ya mazungumzo?
Wanafanya hivyo kwa kutaka sifa na vyeo pia kumkamata bunge huwa ni Ujiko mkubwa sana .Halafu mnauliza ni kwanini raia wanalichukia jeshi la polisi? Hivi kama polisi walimhitaji Lema walishindwa kumpigia simu aripoti kituoni? Kulikua na haja gani kwenda usiku usiku kana kwamba wanaenda kumkamata bin laden? Wapiga kura wake hapo arusha na wafuasi wake nchi nzima wakiona huo uonevu unategemea watakua na mahaba na polisi?
Kumbe wana cdm siyo waTz.?Badilisha watanzania andika chadema.
Angeenda bila tatizo lakini kumbuka kipindi hiki Kila mtu anafanya kazi kwa lengo Fulani .Alafu mbona hawa jamaa wanapenda kumvamia kibabe kwani wakimuita huwa aendi mwenyewe?
Tumejikabidhi kwa vichaa tutaumia sanaWhere are we heading Tanzania ???
Toa ushauri basi nini wafanye! Mimi naona njia ya mazungumzo na msajili wa vyama vya siasa bado ina mwanya wa kumaliza hili tatizonawaambieni viongozi wa chadema mtaendelea kukamatwa woote kabla ya tarehe 1 kama mtakaa kizembe. endeleeni kubweteka kufikia tarehe ya maandamano wote mtajikuta ndani....
Kama kawaida itapita kumbakumba wasiokuwemo na waliokuwemo zoazoa itawapitia wengi sana .Wale majambazi walio ua polisi 4 mbagala wamekamatwa?
Siyo waTz wote ni cdm.Kumbe wana cdm siyo waTz.?
Wewe ndo unajutia sisi tunafurahia mafisadi yanaweweseka tuWatanzania wanajutia maamuzi ya Uchaguzi mkuu 2015
Uanze ww na familia yako sisi tunafanya kaziHii ya kukamata viongozi wetu itatufanya tuanze maandamano kabla ya tar 1
AnzaHii ya kukamata viongozi wetu itatufanya tuanze maandamano kabla ya tar 1
Atakuwa kahusika. Maana inaonekana chadema wamehusika ktk kutafuta sare ili askari wao fake waue waandamanaji na baadaye wapige picha na kuipelekea ile NGO yao ya haki zabinaadam
Inawezekana wenzake tulilala usiku yeye akawa busy kujenga UKUTAKwa kosa gani?