Return2roots
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 874
- 438
Ktk nchi zetu hizi za ulimwengu wa tatu, hakuna kanuni mahsusi ya kumkamata aliye ihalifu sheria, huku ukihakikisha ushahidi wa uhalifu wake ukiwa ktk uasilia wake, zaidi ya kumuingilia "in four"...Hivi mbunge akiitwa kuripoti Polisi atakimbia?
Halafu bado kuna mtu anadhani watu watakuwa na imani na cops?
Mimi binafsi ningekuwa Polisi ni majambazi tu ndio ningekuwa nayakamata kwa ambush, watu wengine ni wakuandikiwa tu wito wa kuitwa polisi au kiwaita kwa simu na wanajisalimisha wenyewe.
Waziri Mwigulu Nchemba amewataka wauwaji waliouwa Polisi wetu wanne wajisalimishe, sasa napata shida kidogo kwa mbunge kutopewa fursa hiyo ya kujisalimisha.
Polisi maboresho: msitishe raia wema wanaotumia social network bali someni michango ya raia wema humu itawasaidia sana kuwa na jeshi la Polisi la kisasa ambalo litakuwa ni PT Pride.
Kama maguvu yanalipa basi sehemu ya kwanza kufanikiwa ingekuwa ni Israel na Palestine conflict.
....hata wa dunia ya kwanza, wamekubali muondoko huu kivitendo, na wameiga!
Hongera jeshi letu la polisi, kwa kutoangalia "makunyanzi"....