Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,222
- 127,280
Du, wewe mzito wa kuelewa au king'ang'anizi cha kutokukubali ukweli.
Katika mengi niliyoandika na kushauri, ni hilo la kushindwa kwa UKAWA kushawishi Watanzania na kaulimbiu ya 'mabadiliko Lowasa, Lowasa mabadiliko' pamoja na kuzungusha mikono, hadi unadai ushahidi!
Ushahidi ni asilimia za kura za Rais na Wabunge na Madiwani ilizopata CCM kwa kauli mbiu ya 'hapa kazitu' dhidi ya vyama 4 vinavyounda UKAWA.
sawa usemacho, ila ni kwa tume ipi ya uchaguzi?