Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

Watanzania wanajutia maamuzi ya Uchaguzi mkuu 2015
Hakuna majuto,kila Watz wanajua nani alishinda ki haki...Tujifunze 2020 kura ziwe nyingi hata zikipunguzwa ushindi uko palepale
 
Jana nilikuwa na mh Lema sakina bar
1472206797728.jpg
 
Hakuna haja ya mazungumzo tunataka kuona nani mshindi hii mazungumzo baada ya kuapata mshindi

Makamanda gani wanalilia mazungumzo wakati hata mpambano haujaanza.🙄🙄🙄
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Askari Polisi walivamia nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema alfajiri ya leo na kumkamata.
Hivi sasa yupo central police ya Arusha.

Sababu za kukamatwa kwake haijajulikana bado....

Tutawajuza kila kitakachokuwa kinajiri

=======

UPDATES;

Polisi Arusha imesema inaendelea kumshikilia Mbunge Lema na baada ya upelelezi kukamilika watampeleka Mahakamani.
This is strange. Unamkamata mtu kabla hujajua kosa? Jamani nchi inaporomoka kisa ni tofauti ya itikadi ya kisiasa. Polisi acheni kutuingiza kwenye machafuko.
 
Serikali inaendelea kupuyanga

Hahahahahahahah! Hili neno "Kupuyanga" lilipotea kichwani mwangu. Leo nimekumbushwa, Hahahaha eti Kupuyanga. Na inapuyanga kweli, leo imemrukia huyu, kesho yule, alimradi Kupuyanga.
 
Dalili ya ushindi wa CHADEMA. Pole CCM endeleeni kuwapatia umaarufu wapinzani.
 
Back
Top Bottom