Hakuna chochote kibaya mbeleni ni kazi Ya upinzani kupingana na serikali kwenye nchi yeyote duniani yenye demokrasi ya ukweli tatizo demokrasia yetu bado changa hivyo wapinzani kukamatwa ni jambo la kawaida pale serikali inapodhani kuna siasa zitakazoleta madhara,ni jambo la kawaida sana.amani kwanza siasa baadaye.Ninachokiona mbeleni ni *KIBAYA* sana...
Hii ya kukamata viongozi wetu itatufanya tuanze maandamano kabla ya tar 1
Nyooooo, nani kawambi, kwa taarifa yako, kama uchaguzi ungeitishwa leo, Magu anazo asilimia zaidi ya 90.
Hii lugha kama ya akina mama wakiwa barazani wanapiga umbeyaNyooooo, nani kawambi, kwa taarifa yako, kama uchaguzi ungeitishwa leo, Magu anazo asilimia zaidi ya 90.
labda uchaguzi wa ccm pekeeNyooooo, nani kawambi, kwa taarifa yako, kama uchaguzi ungeitishwa leo, Magu anazo asilimia zaidi ya 90.
acha lugha mbovu wewe dogo unadhani wote rika lako humu???Nyooooo, nani kawambi, kwa taarifa yako, kama uchaguzi ungeitishwa leo, Magu anazo asilimia zaidi ya 90.
Majadiliano ya nini.. Nendeni mbele hukoHivi kwa mwendo huu kuna haja ya mazungumzo?
Naomba nijue kiongozi ukisema nyie unatefer kina nani na wewe unajiweka kundi lipj hapa?Anayetaka mazungumzo ni nani????? Nyie mfanye fujo na wakati huo mtake mazungumzo??????!!!!
Huna jibu.ANGALIA HIVI VYAMA VINATUTUMIA KUFANIKISHA NINI CHA MAENDELEO NA SIO VINGINEVYO ,,,,, TAFAKALI CHUKUA HATUA